Unamtambua Mh. Lowassa kama nani?

ha ha ha

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
638
84
Habari wana JF, je unamtambua Mh. Lowasa kama kiongozi wa aina gani? Hii itasaidia hawa viongozi kujijua kupitia mitandao ya kijamii na sio kupitia takwimu na ripoti za kupika..Funguka.
 
Kama mwizi wa kimasai aliyesomea sanaa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Ndiye chanzo cha matatizo yoye yanayojitokeza hapa Tanzania.Kama aliyekwisha kutabiriwa na Shaaban Robert kwenye Riwaya ya Kusadikika kama 'Majivuno'.Kama mtu ambaye kama Mpare Saidi Mwema akiniruhusu nimlishe sumu mtanzania mmoja basi atakuwa Lowassa.I hate myself to be born and live with Lowassa in Tanzania..ptuuuuuuuuuuuu!
 
Kama mtu tuliyeonywa na Mwalimu NYERERE kuwa ni wa kuogopa na akamtaja kuwa hafai kuwa kiongozi. Tulipopuuzia maneno ya Mwalimu leo laana inatutafuna kama ukoma!
 
Kama Mtu jasiri kwa kumua yeyote anayepingana naye kimawazo, jasiri kwa kujilimbikizia mali akiamini kuwa ni mtaji kwa kila anachokihitaji.
 
Definitely...what is the difference btn Lowassa and CCM anyway?
hawa hawa ambao huwa wanaichagua CCM ndio hao hao watampigia kura EL tena kwa kishindo...by now his credibility level is 40% by 2015 it will be 100%


hivii the date ni 2015?
sio earlier?
 
Namtambua kama pacha wake Blandina Nyoni kwenye ishu ya upigaji,kama ntaw grade basi wote ni mafisadi bingwa!!!
 
Politicaly, he is a vry giant n strong leader who is destined wc directive vision!Mengneyo wadau ni HASIRA 2subir make watz 2nachongaga xana ikfka uchaguz chali!mengneyo kwa EL ni nyma ya PAZIA!Lazma uwe n 3rd eye!
 
Mimi nadhani nitakuwa na mawazo tofauti na wengi kuhusu lowasa.mi namuona kama ni kiongozi mchapakazi na once anapokuwa na cheo fulani anafanya kweli. I believe Lowasa ingawa anatuhumiwa kwa ufisadi ni kiongozi mchapakazi na muwajibikaji.ni bora ya mwizi anayeiba na kuleta pia maendeleo kuliko mwizi ambae hafanyi lolote la maana kama baba fulani.nahisi anataka urais ili awaprove watu wrong
 
how?
by people's choice?

Kwangu mimi ni mtu mwenye tabaka zote za ufisadi ila pia ndio kiongozi aliyeonyesha kudhubutu hadi leo ikiwepo kujiuzulu alipohusishwa na richmond! Ni mchapakazi na mjasiria mali! Matatizo kama binadamu yepo: Kisasi, utajiri ambao ni yeye pekee ndio anajua chanzo, kutokusamehe! Lakini ni yupi yu msafi ampige mawe! Ila anza na Haji Mponda!:ballchain:
 
Back
Top Bottom