Unamshaurije huyu dada?

duh, kumuacha mtu wa aina hii nafsi inaweza ikusute maisha yako yote, ngumu sana.

Kuna mmoja ilikuwa hivi hivi, au ndio yeye? Ila yeye walizaa na mtoto mmoja, ndio akaenda chuo kikuu. Akamwachia mmewe mtoto mdogo alee, hapo kijana ana meza kariakoo.

Kufika mwaka wa tatu, dada akaolewa na mmiliki wa hotel moja hivi, yaani watu walikuwa wakimuona yule kaka, hadi wanampisha njia.

It was bad! Very bad kwa mwanamme, hakuwa anajua aanzie wapi.
Kongosho hapo kwenye red ni nini kilitukia? Ni hatma ya huyo mwanaume
Sitaki kuwa muumini, lakini malipo ni hapahapa duniani!

Bazazi
 
Last edited by a moderator:
Hivi unajua mtu akiwa kachanganyikiwa mnamuogopa? Hasa kama aliyemchanganya alikuwa keshawatambulisha kwake?

Maana akikukuta akakuuliza Shem, mke wangu yuko wapi? Hujui hata umjibu nini, bora kumchenga tu

Kongosho hapo kwenye red ni nini kilitukia? Ni hatma ya huyo mwanaume
Sitaki kuwa muumini, lakini malipo ni hapahapa duniani!

Bazazi
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe ni kama chupi na sidilia havishikani

Ndio mana naipenda JF kila mmoja ana mawazo yake!! ......wakati MANJI na BHARESA wakiwaza jinsi y kuongeza mabilioni, ww unawaza hivyo.
 
Aisee hapo patachimbika jamaa hatomwelewa kabisa huyo dada tena huo ni utapeli,kingine mamen mwanamke is undifined leo yuko fresh kesho anakutia maumivu yani hasa kabila la ........................hakishajua kuna mali atakupa fake love mwisho anaweza kukuua hata kama mna watoto xo careness ni muhim kwa hawa watu!!!nawasilisha!!
 
mbona heading haiendani na maudhui ya sred?acha kugeneralise na kuwalisha wenzio sumu,women are nt uniform objects.

Sasa wewe chapa lapa halafu utajua kwanini huyo aliyekusomesha alijinyima kwaajili yako.....na yakikupata tafadhali usisahau kutuletea mrejesho hata kama umeumia
 
ah huyu mwanamke alikuwa halijui kuwa muuza genge sio choice yake wakati mwana anajipinda kumlipia ada!!! hawa ndio wanawake wakuwabaka na kuwa f.i.r.a

Umesema ovyo. matusi ya nini? Unajichukulia sheria mkononi kama ...........
 
The wrangles between wife and husband (Marriage Issues) that have been there since the beginning of the world and they will never end, KIKWETU TUNASEMA "Matata ya Mwasi na Mobali Esilaka Te"
 
Sasa wewe chapa lapa halafu utajua kwanini huyo aliyekusomesha alijinyima kwaajili yako.....na yakikupata tafadhali usisahau kutuletea mrejesho hata kama umeumia
we vp wamenisomesha wazazi wangu na sasa wanakula matunda icitoshe yanikute yepi while mie ni she?
 
we vp wamenisomesha wazazi wangu na sasa wanakula matunda icitoshe yanikute yepi while mie ni she?

Sorry nilikuwa namjibu mwenye thread kumbe nimetumia quote yako! usikonde mimi na wewe uji na mgonjwa nitafute sikukuu tule kuku
 
Inatupa bigijiii kwa karanga za kuonjeshwa weye... ? ila kwa umri wako...haishangazi.. we jipeleke kutumika!!:majani7:
 
Hamna kitu hapo; cwezi poteza muda wangu kukoment kitu cha kupika kiac hicho na kwa umri huo kwa hapa kwetu tz huwezi kuwa na degree...kwaherini wanajf!!!!
 
Ukistaajabu ya musa utaona ya Firauni!!!! Wanawake, wanawake, wanawake!!!! Hivi pia haijawahi kutokea mwanamke akamsomesha mume wake, mwishowe mwamaume anamwona mke ni tambara bovu?

Nina kesi moja ya mwanaume ameajiriwa tena Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Mawasiliano ambaye mke wake alijinyima akawa anamlipia sehemu ya ada akiwa anasoma dedree ya pili. Ila tu mwanaume yule hakuwa na uungwana na mkewe. Kwa sasa baada ya kupata mafanikio na kuanza ujenzi, au kama ameshamaliza basi akachukua wanawake wengine lukiki na sasa hata mke mwenyewe kashatimuliwa na watoto watatu!!! Sasa anajiandaa kufunga ndoa na kidosho wa mjini ambaye hakuwahi hata kumsaidia!!

Kwa hiyo haya mambo yako pande zote mbili!! Ndiyo maana siku hizi ndoa nyingi ni kwa machale sana!!! Hakuna mwanaume au mwanamke anajitoa full kwako!! Huo ndiyo ukweli, wanandoa wanachekeana kiunafiki ili siku zisonge tu!!
 
Hapo kweli mkuu Maprosoo, tena mfano ukumfungilia biashara anaanza kupendeza wajanja wanaanza kumuona sasa hapo ni kumwachia mungu tu kama ni wako atakuwa wako kama sio ndio imekula kwako
 
Huyu msichana ni very right. Kusema kweli tangu awali hakumpenda muuza genge. Alitaka pesa za kulipia masomo yake. Hakuwa na njia nyingine ya kufanya. Alipojitokeza muuza genge aliyekuwa tayari kukidhi haja yake ya kusoma ilikuwa ahueni yake. Hapakuwa na mapenzi pale. Muuza genge alitakakumdhalilisha mtoto yule kutumia pesa yake ya genge. Msichana yule angekubali kuolewa naye kabla ya kumaliza masomo, angemharibia. Mtoto wa kike alimwambia SIDANGANYIKE. Subiri ni some. Baada ya masomo anatoa maamuzi ya kiutu uzima.
Muuza genge na graduate wapi na wapi?
Kama muuza genge angekuwa na busara angemwambia aendelee na ustarabu, ikiwezekana amkumbuke katika ufalme wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom