Unampeda mtu siku ya mwisho anafunga pingu za maisha na rafiki yako bila we kujua

kameja

Member
Sep 19, 2010
6
0
unakuta mtu unaempeda sana na unamtegemea katika maisha yako awe mkeo,alafu unasikia kafunga pingu za maisha na rafiki yako wa karibu sana. utafanya nini na unakuta alikupromic kua mtaoana?
 
huna cha kufanya....sana sana lazima maisha yaendelee kwenda mbele.......ukijali sana utakufa siku si zako na kuwaacha wao waendelee na maisha ya ndoa......ni kupotezea tu japo inauma lakini hakunaga permanent situation hata siku moja....itapita tuu
 
take the positive side of it. kwanza angalau hakukusaliti ndani ya ndoa so hakuna commitment ya kukusumbua (e.g. watoto, kiapo, n.k), pili umejua kwamba rafiki yako ni bomu, so unaterminate contract ya urafiki, tatu you are free to choose again and have that Love starters feeling which is a heavenly good feeling. So Relax, Be strong and Face it.
 
Angalizo tu: NDOA BORA HUFUNGWA NA WACHUMBA WAWILI WALIOPENDANA, SIO WALIOAHIDIANA KUOANA. Hapo palikuwa na tatizo la kimsingi. Hata kama ndoa ingefungwa, basi isingedumu. Bora haikutokea kabisa. So u're better off.
 
take the positive side of it. kwanza angalau hakukusaliti ndani ya ndoa so hakuna commitment ya kukusumbua (e.g. watoto, kiapo, n.k), pili umejua kwamba rafiki yako ni bomu, so unaterminate contract ya urafiki, tatu you are free to choose again and have that Love starters feeling which is a heavenly good feeling. So Relax, Be strong and Face it.

Ukiwa hujanywa wala kuvuta unakuwa umetulia sana Kloro....sina la kuongeza....ushauri huu na huo wa Preta tosha kabisa!
 
Do nothing! Move on. At this point they expect you to bring some kind of drama in their relationship. Again ignore, the damage has already been done, just move on.
 
take the positive side of it. kwanza angalau hakukusaliti ndani ya ndoa so hakuna commitment ya kukusumbua (e.g. watoto, kiapo, n.k), pili umejua kwamba rafiki yako ni bomu, so unaterminate contract ya urafiki, tatu you are free to choose again and have that Love starters feeling which is a heavenly good feeling. So Relax, Be strong and Face it.

Well said!
 
Je rafiki yako alijua kama aliefunga nae ndoa alikuwa mpenzi wako? Je mpenzi wako alijua kuwa jamaa ni rafiki yako wa karibu? Kama hawakujua basi endelea kuwa nao kiurafiki tu basi na wasamehe, na ni vizuri rafiki yako akijua kuwa ulikuwa nae kimapenzi yule alie muoa, ila muhakikishie umevua mkanda mbele ya mungu, maana akija kusikia kwa wengine au mkewe itakuwa noma, atajiuliza kwanini haukumwambia.

Na kama rafiki yako alijua uhusiano wenu kati ya wewe na yule, basi huyo rafiki ni mnafiki, rafiki mbaya sana, anapenda kuiba vya watu, ni ****, anasubiri wengine watafute yeye ale tu, mjinga mpumbavu. Kwaiyo hata ukioa mke mwingine atakuja kumla vile vile muepuke huyo, ni mshenzi sana, kata mawasiliano nae moja kwa moja.

Na kama binti ulietaka kumuoa alijua uhusiano wenu na yule rafiki yako, basi nae ni mshezi kama huyo bwana. Kama alikupenda hasingelaghaiwa kiuraisi namna hiyo, au ndio tamaa yake ya kuolewa haraka haraka na aliona haupo activ?
sijui kaka unatokea mazingira gani na dini gani. Kama huku kwa waislam, ulikuwa nae binti kimapenzi kisiri bila mtu kujua, na mukaaidiana muoane nawe, ila mambo yako hayapo sawa, labda unasoma nk, akija rafiki yako au binamu yako kuleta posa, anakubaliwa na mwanamke akiona haupo activ nae, au anazani ushapata mwingine ulipo, basi yeye atakubali kuolewa pia. Pole ila wewe mwenyewe unajua mazingira yalivo na mapenzi yenu yalivo kuwa, utapata jibu nazani. Au muulize huyo mwanamke kwanini kakufanyia hivo?
 
Kwa hiyo washenzi wajnga wawili wameoana? if thats so just move on with your life hawakufai wote
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom