Unampango wa kumuacha mpenzio

XOXOQY

Senior Member
Feb 7, 2011
172
36
Uncle XOXOQY 2day's class:-Asilimia kubwa ya watu waliopata kupenda katika maisha yao kisha wakatendwa hupata "mvunjiko wa moyo"(brocken heart),watu wa namna hii hupata matatizo ya kisaikolojia yanayodumu katika maisha yao yote,hujihisi kuto kukamilika,huwa wapweke,wanapoingia kwenye mapenzi huwa ni watu wa kujihami sana,watu kama hawa hawapendi kuacha pale wanapoanza mapenzi mapya bali huwa hawako tayari kupenda kwa dhati.KUMUACHA MPENZI AKUPENDAE KWA DHATI HUMSABABISHIA ATHARI KUBWA SANA KISAIKOLOJIA.EPUKA KUACHA KWANI "wat goes arround alwayz comes around"HAPPY VALENTINE'S DAY! kwa ushauri kuhusu anythng about L.O.V.E just email me feyz18@yahoo.com.
 
Kwahiyo watu waepuke tu kuachana kwasababu ya kuogopa yatawarudia bila kujali kinachopelekea hiyo hatua???Ungesema wanaowafanyia wenzao vituko waache kwasababu wakiachwa wakaja kupenda wao.....baadae yatawarudia waliyokua wakiwafanyia wengine!!
 
ungeweka kwenye paragraphs basi mkuu.

sasa kama mtu tayari kesha tendwa, hiyo statement ya "what goes around comes around" ina apply vipi?
 
Kwahiyo watu waepuke tu kuachana kwasababu ya kuogopa yatawarudia bila kujali kinachopelekea hiyo hatua???Ungesema wanaowafanyia wenzao vituko waache kwasababu wakiachwa wakaja kupenda wao.....baadae yatawarudia waliyokua wakiwafanyia wengine!!

kumbe umeelewa,that's good!
 
Back
Top Bottom