Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza?

mimi nakumbuka tulikutana naye singida tumaini sec,yeye alikuwa std vii 80s alikuwa anaitwa sylverster mnyamwezi siku hizi sijui yupo wapi.
 
dah mie cjui nimsimulie yupi!maana kuna mambo yakikubwa nilifanya nkiwa darasa la 3,4,5,6,7!form 1-4!cjui yupi hasa natakiwa kumwita wa kwanza!
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, duh hapana hii siwez sahau ingawa naiweka kapun lol, kisa cha kuchekwa humu nn
 
mmmmh parefu hapa! ninachoweza shukuru mungu nilianza mabo haya baada ya kumaliza form 6 na jamaa tulikutana naye tangu form 1 shule ya boarding girls na boys hukooo usambaani. Nilimpiga chenga mda woote huo hadi aliponiambia bora tuachane kama staki kumpa K, hapo ndo aliniweza coz nilikuwa nampenda sana nikawa sna jinsi nikaacha anichojoe taratibu lol baada ya nusu saa mashuka yalijaa alama nyekundu niliona aibu sana ila na yy kwa furaha ya kukuta zawadi ya ushindi alinishika mkono na kunipeleka bafuni na kuniogesha kama mtoto nilifurahi nikasikia napendwa it was my first luv bad luck tuliachana baada ya kwenda chuo.
na wewe mtoa mada mbona hujasema ya kwako?
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuu!
Hapa patamu!hahahahahaha

nakumbuka alisababisha nikatambaa kwenye banda lang'ombe nikaloa mavi ya ng'ombe mwili mzima na kuchubuka magoti.
Hii ilitokea bahada ya kwenda kwao usiku na kumchomoa ndani na kumpeleka nyuma ya banda lao lang'ombe baada ya dakika kama 30 baba yake alianza kumtafuta uku akiita jina lake:....smile,smile,smile lakini alivyo ona kimya! Akaanza kuja kwenye banda la ng'ombe huku anaita smile,smile.
Nilitetemeka sana na alipo karibia tulipo nilizama kwenye banda la ng'ombe na giza lote lile na shukuru ng'ombe hakunikanyaga!
Na yule mzee angenishika kwa kweli angenipiga sime.

Huwa nikiona zizi la ng'ombe na cheka sana.
 
Nilikuwa Tanga nasoma A-level, namkumbuka hadi leo mpenzi wangu wa kwanza kuwa nae.
 
Alikuwa mnene, kifua kikubwa....na zaidi alikuwa mfanyakazi wa ndani aka houcgel,beki3....baada ya promc sikuwa na sehemu ya kwenda bali porini.
Nakumbuka ilikuwa mida ya 1 usiku, kiza cha kutosheleza and sunlight was totally failed, nikaaingia nae kichakani....Hii ilikuwa baada ya kumaliza tu form 4..hapa naomba msinicheke!!
Dah mwanaume nguvu nguvu nikatoa gwanda, nikaingia king....sasa bahati mbaya nyumba za karibu na hata alipokuwa anakaa huyu dada walikuwa wanafuga sana m-mbwa,tena wakali. Basi zile vurugu pale kichakani, Mmbwa wakazistukia.

Hazikupita dakika mara hao...dah,nakumbuka ilikuwa kitimtimu balaa....kizuri ni kwamba wale mbwa walivuta harufu ya yule binti kwa hiyo hawakumletea noma coz walimzoea, kivumbi ilikuwa kwangu sasa.!! Mamamaaaaa weeee...nilipiga makelele, kale kabinti kakawa kanawakemea wale mbwa wasilete noma!!

Kikubwa ambacho sipendi kukisema.....huyu binti wakati na-do nae nilipigwa na harufu flani kali sana kutoka maeneo...lol, nilichukizwa sana kale kaharufu, nadhani iilikuwa ni suala zima a usafi ni F/....lakini ndo hivyo tena, kale kaharufu kalichukua muda kweli kumingle na wadada/mdada mwingine...na ilichukua muda...nadhani baada ya kumaliza Form 6 ndio nikawa na 2nd gf...hadithi inaishia hapo!!

Hahahahahahahah lol! duh!...Ahsante sana Mkuu Sizinga yaani nimecheka ile mbaya lol!....You have just made my day.
 
wala si miaka.....wiki tu kazaa....
micn u.....
Preta
Na wewe ndo zako hizo nini!..mwanamke akifanya hivyo ujue ishu ya maslahi inahusu!...
Kama ni gold-finger atakuganda huyo miaka, karibia akuvurugie na kulisanua kwa mama Chausiku wako!
Mcn u too bby!...where & when wll i c u again?...could it be Jogoo House?, Arusha Raha? Stanley Club? Police-Mess?:A S-alert1:
 
Last edited by a moderator:
Akyanani mnaniuzi kutupekua afu mnatuanika hapa? Mbona kupendwa kawaida kabisa
eti kumbe Konnie kujidai kote ana page 3 tu, inahusu?
Bishanga akileta hayo napoteza sehemu zake zinazomfanya aitwe bishanga.

Hata wewe unakaribishwa, nimemtaja huyu kama kiwakilishi tu

Kongosho Akiku'turn-down basi wengine tupotupo!
Watu wengine hao hawajui kupendwa, atakupekua kitabu wee, kisha anakuja kulimwaga kojo hapa majamvini!..achaneni na watoto wa dizain ya Bishanga na Erickb52
 
heheheheeeee nimecheeeeeeeka hizo comment .............afu nikaanza kuvuta kumbukumbu...........................nikacheeeeeka!
huyo kijana alikuwa mtanashati balaa....lkn nilikuwa najifaragua manake nilikuwa naogopa sana lile zoezi alilokuwa analiintroduce. Siku ya siku akanikamata kwenye 18.....na ndo siku nikapata kizaigote cha festboni wangu!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom