Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,188
Kweli baniani mbaya ila kiatu chake dawa!
Tunasemaga kila siku ifike mahali dada zetu muelewe tu kwamba u cant eat ur cake and have it...
sasa wewe unataka kazi, msaada wa kimasomo, na favour kibao, hapo makalio wala meno yake huyaoni....inapofika kwenye kukutaka kimapenzi, hapo vyote hadi ucongo wake unauona
hebu tuambie, hiyo likizo yako ya mapenzi inaisha lini, kama kweli ipo ama ni kwa vile hajajitokeza tu wa kukidhi 'vigezo' vyako
to me thats very inhuman na najaribu kuimaginen hiyo elimu ya nje ya nchi inakusaidiaje kuelimika bora ungekuwa unasoma hapa hapa labda ungeelimika kujua namna ya kusitiri utu wa mwenzako!
kaizer wangu huyo ameongea.
Nikuletee nini mtoto mzuri?lol!