Unamjuaa huyu???

wala sio cabo snoop Huyu ni RIO PAUL fashionista wa bongo he's a very good friend of mine, kind hearted ukiachia mbali mambo yake he love fashion and he's 100% into it..though ana girlish attitudes but awe shoga asiwe shoga hayo ni maisha yake binafsi sidhani kama yanapaswa kujadiliwa jamvini

Umesomeka kamanda
Lakini maisha binafsi unafrahia ushoga?
 
wala sio cabo snoop Huyu ni RIO PAUL fashionista wa bongo he's a very good friend of mine, kind hearted ukiachia mbali mambo yake he love fashion and he's 100% into it..though ana girlish attitudes
but awe shoga asiwe shoga hayo ni maisha yake binafsi sidhani kama yanapaswa kujadiliwa jamvini

Utetezi usio na nguvu, kwa hiyo mtu akiwa ana sex na binti yake above 18 yrs nayo tuseme ni maisha yake binafsi jamii isijiulize na katika hilo. Elewa jamii ina value zake ambazo asiyezifuata lazima jamii imshangae na kumjadili.
 
wala sio cabo snoop Huyu ni RIO PAUL fashionista wa bongo he's a very good friend of mine, kind hearted ukiachia mbali mambo yake he love fashion and he's 100% into it..though ana girlish attitudes but awe shoga asiwe shoga hayo ni maisha yake binafsi sidhani kama yanapaswa kujadiliwa jamvini
 
Last edited by a moderator:
mbonaa kama kamandaa umeongeaa kwa gazabu flani!!kama ni shogaa hapa sio ulayaa kumbuka,shoga ana haki afrikaa.sorry kama ni rafiki yako.kazi yake fashionista aina nomaa kazi swafii ila kiutamaduni wetu watu wenye tabia hiyo ni wa kuwatengaa.sorry kama nimekukwanzaaa

kwenda zako

utetezi usio na nguvu, kwa hiyo mtu akiwa ana sex na binti yake above 18 yrs nayo tuseme ni maisha yake binafsi jamii isijiulize na katika hilo. Elewa jamii ina value zake ambazo asiyezifuata lazima jamii imshangae na kumjadili.

naomba ieleweke kwamba sitetei ushoga..hivi jamii ni kina nani??? Yeye ni sehem ya jamiii kumbuka..acheni kumpangia shangwe zake..tatizo mlisoma st.kayumba ndo mana mna behave kishenzi
 
E
naomba ieleweke kwamba sitetei ushoga..hivi jamii ni kina nani??? Yeye ni sehem ya jamiii kumbuka..acheni kumpangia shangwe zake..tatizo mlisoma st.kayumba ndo mana mna behave kishenzi
we nae ni walewale maana hoja yako ya st kayumba kama unaona umeongea point kumbe uharo...we wa st francis tueleze una miguu mitatu nini?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom