Unamjua Nyerere?

YNNAH

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,702
969
sikiliza mazungumzo ya baba na mtoto

baba: mtoto mzuri unamjua Nyerere?
mtoto: hapana baba
baba: pumbavu.....kuwa makini na masomo yako.
mtoto: baba na wewe unamjua Paul?
baba: hapana
mtoto: pumbavu.....kuwa makini na ndoa yako!!!!!
 
asante YNNAH nilikuwa sijazaliwa ilipotoka mi nimeipenda
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom