Unamjua dada aliyeimba wimbo wa tangazo la epic bongo star search 2012.??

:wacko:.......Kwa faida ya wengine wote, hebu tuangalia hii clip ya wimbo (tangazo la Epiq BSS) ambalo lilitengenezwa nchini India (it's very interesting!!)..............:flypig:
duuh,
mkuu ujue hili tangazo huwa nalitizama kwa umakini sana nikawa sipati picha ya ufundi uliotumika!!.
ukiliangalia linapoanza nyuma ya hivyo vijumba utaona kuna kitu kama bahari au ziwa lenye fukwe na mandhari mazuri sana, nikwa najiuliza ni wapi hapo?.
tangazo kali sana, Zantel wanajitahidi matangazo yao yana akili.
 
Madam Rita fungua njia kitoto chaanza tamba, Master J fungua njia kitoto chaanza tamba, Salama fungua njia kitoto chaanza tamba....ni kawaida sana, wala sioni jipya. Naikubali ile quality ya tangazo tu, ila si muimbaji.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom