Unamfahamu kibaka huyu?

A2 P

Senior Member
Mar 22, 2012
184
43
Kibaka huyu kafika dukani hapa tabata na kuiba simu. Vijana wakamnasa na kumtembezea kichapo pamoja nakumvua nguo. Kwa sasa amepelekwa post SAM_0927.JPG SAM_0927.JPG
 
aiseeee babaaangu anakwenda polisi huku akitembeamwenyewe????

Huku kijijini kwetu rombo polisi wanakuja kufata maiti 2 manake 2takuwa 2meshauwa
 
huko Zenji adhabu kubwa ya vibaka ni kumwagiwa mimaji yenye ukoko
 
aiseeee babaaangu anakwenda polisi huku akitembeamwenyewe????

Huku kijijini kwetu rombo polisi wanakuja kufata maiti 2 manake 2takuwa 2meshauwa
Na kwenye misa ya mazishi Padri anasema, katika shughuli zake za kawaida za kujitafutia riziki, marehemu alikumbwa na mauli.
 
Back
Top Bottom