Unam-treat FAIRLY house girl wako?

Dah! Huyu naona ni exceptional!
yaani kweli huyu ni expt, halafu ni mchafuu anatia kero nimejaribu kumbadilisha kwakila mbinu ila haelekei, akifua nguo
lazima nirudie zinaanuliwa zikiwa zinanuka jasho kuliko zilivyokua mwanzo hazijafuliwa, hajipendi ila wanaume ?!
Kwakweli huyu msichana namvumilia kwa vile sina namna.. Bado ni mwaribifu wa vitu na hataki kuambiwa
nikimwambia tunajibizana kama mke mwenza vile, yaani hawa mahg kumpata wa kumtendea hizo sifa hapo juu ni bahati sana wao wenyewe sio wa hivyo.





0
 
Dada wa ndani ni muhimu sana katika maisha yetu so twapaswa kujali kiasi asijitambue kama yu house girl wako
 
Kuishi na hg ni uvumilivu na ujasiri maana hawa watu wanatabia za kila sampuli yaani mimi hg anaponipeleka nikunibadilisha roho yangu,
mimi hg wangu alikua analala hadi saa tatu, akiamka hakuna shughuli anawasha tv ni clouds au cd za kanumba na lulu, nimekemea habadili ki, ikanibidi nianze kwa vitendo cd zote ficha marufuku tv kuwashwa mpaka niruhusu
nikitoka tuu namkuta kalala either sebuleni au chumbani kwangu nikimfokea avuta d6omo,
Haya kwenye msosi0m ndio nimeshindwa kumuelewa nimempa ruhusa yakula anavyotaka ilbà naona ananikomoa posheni ya watu watatu anapiga mwenyewe na hajali, mkate anakula nusu pekeyake, nikitoka tuu nakuta matunda kwenye frgr
sijiui anaficha au anakua amekula maana ghafla machungwa männe huoni1! Anakula karoti usipime, wakati minimenunua za kupikia, nikileta mapasheni kwajili ya kjuice anakula unakuta tuu maganda kweny dstbn, akipika ugali lazima atoe uji anywe malimao nanunua kwaajili ya mboga yeye anayamalizia kwenye uji
yaani hawa wasichana wanaweza kukufundisha tabia


















0













0








0

inategemea
 
Huyo ndugu yako hajui wala haelewi hulka ya binadamu. Ukimtenda mtu vibaya hasa hawa mahouse girl wetu, lazima atalipiza kisasi kwa sirisiri bila wewe kujua. Mara nyingi kisasi hicho hulipwa kwa watoto wako hasa wale wadogo. Kuna thread moja nimesoma hapa Jf, yenye kueleza jinsi mfanyakazi wa nyumbani alivyoweka menstrual blood yake kwenye uji wa watoto!Ingawa thread haikueleza sababu ya huyo mfanya kazi kufanya hivyo, mimi naona huenda ni aina ya kisasi kwa kuchukia anayofanyiwa na waajiri wake. Mkanye sana huyo nduguyo, ayafanyayo yatamrudia ama direct kwake au kwa watoto wake.Unakikumbuka kile kisa kilichotingisa Dar pale mfanya kazi mmoja wa nyumbani alipomweka mtoto wa mwajiri wake kwenye oven akaiwasha na kuondoka zake? Mtu tunaemkabidhi nyumba, watoto, ni lazima atunzwe sana na kuheshimiwa.
Dah?
Hii kesi iliishia wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom