Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Huo ndio ukweli achane reseach za ku google HOJA kama yule kiumbe ni mwalimu wa ujasusi tena intelligent kuliko wao kwanini akamatwe na kushikiliwa? Je asingeweza kuwatoroka? Anaongea lugha gani? Kama ni siri hat rais wa nchi hiyo huenda kwa kiapo siri hizo nani kakuambia? Those are conspiracy theory tuwaone wako juu kijasusi na kumbe hata walipigwa na Vitinam wakaishi kutengeza filamu za uongo kuwa walishinda. USA ni weupe tu
Conspiracy theories zipo tuu zikiwa na lengo la kuficha ukweli na kuweka nadharia juu ya mambo halisi yanayotokea mfano hadi sasa 9/11 , MH370 , UFOs, Aliens nk....bado ukweli haujulikani zaidi ya conspiracy theories tuu tena zimejaa huko YouTube, blogs,webs,wikpaedia .

Ni ukweli ulio wazi kuwa marekani walishindwa vita ya Vietnam na kukimbilia propaganda na conspiracy theories zinazoonyesha kuwa waliwashinda wavietnam .

kwa upande wa Area 51 pia hizo conspiracy theories zimesema mengi ila ukweli ni kwamba hilo eneo ila usiri mkubwa katka masuala ya kijeshi huko Nevada kaskazini magharibi mwa Las Vegas, ingawa hadi sasa lengo halisi la hilo eneo bado halijulikani ndo maana inasemekana ni eneo lenye siri nyingi, na kuwapa mwanya conspiracy theorists kuleta nadharia nyingi sana .
 
S
natamani kucheka! Ki ukweli nimecheka, kama wajuzi walivyosema hapo juu, kunadhaniwa kuwa na viumbe wa anga za mbali walitua area 51(walikuwepo, sijui kwa sasa) h abari za hapo ni siri sana, na mengi unayoyasoma yametoka kwa kuvujavuja! Unahijati kukomaa kweli kujua habari za alien kwa sababu kiasi kikibwa zinashindana na imani za dini zetu, kuna wataalam wa sayansi wa nasa,cia,nsa ambao wanaweka dini pembeni ili kufanikisha masuala ya tekinalojia!! Hawa wanajua namna ya kuwasiliana na viumbe wengine(ambao kwa kawaida hawapo,kwa siri wapo)wakatafuta eneo la ziwa la magadi na jangwa lililo katikati kama bonde kuuuubwa wakaliita area 51, linalindwa kupita maelezo, hata ndege hazipiti anga lake! Sasa kazi ilikuwa kutengeneza mazingira wa kuwapata hao (alien) kuna michoro mingi ya ajabu area 51 kuanzia geomatrik,pantagram...
So aliens can we say they are invisibles! If not can you show us the photo please?
 
Silicon valley ni eneo lilitengwa marekani kwa ajili ya kuvumbua na kutengeneza vifaa vya kiteknolojia ya kisasa. huko mtu wakawaida haruhusiwi kufika maana wanaogopa kuwa wataibiwa teknolojia yao.
Mtu wa kawaida anawezaje kuiba teknolojia sehemu kama Silicon Valley?
 
Hollywood Community ndo the smartest community under the sun! They make millions of dollars from these conspiracy theories... from aliens crap' to those giants stuffs not mentioning to those sought to be real science findings about dinosaurs-- it's money!money!money!
 
I can't agree more. Ndio maana sipendi movies zinafanya watu wazima wanakuwa na mawazo ya kitoto, kila wanachoona kwenye movies wanaamini
 
I can't agree more. Ndio maana sipendi movies zinafanya watu wazima wanakuwa na mawazo ya kitoto, kila wanachoona kwenye movies wanaamini
I like movies or series lakini zile ambazo in one way or another, they can reveal something in the real world. Kwa mfano, ukiangalia The Americans, there's something from what's happening in the real spy world only now waiting kuangalia ikiwa mwisho wake utakuwa sawa na kile kinachofahamika kama Illegal Program!
 
Hili eneo lajulikana kama area 51 linapatikana katika jimbo la nevada uko Marekani, eneo hili ndiko kulipo na kituo kikuu cha ujasusi cha Marekani, na inaaminika kwamba Majajusi wa Marekani hukutana na viumbe vya ajabu na kupewa siri na maarifa ya kisayansi jinsi gani ya kuitawala dunia.

Na hapo ndipo kiumbe cha ajabu kilipoifadhiwa baada ya kukamatwa na majasusi wa marekani miaka ya 90 baada ya kuachwa na wenzake waliotoroka kusikojulikana na chombo chao UFO na kumsahau mwenzao aliekuwa mbali na kuishia mikononi mwa majasusi wa Marekani.

Si rahisi kwa mtu wa kawaida kufika uko hata mtawala wa marekani hufika uko kwa kiapo , na mara moja kwa miaka 10.

WANAFICHA UONGO WAO HAPO.

kwanza mada ya alliens iweke pembeni kuhusu area 51.

Kupitia source zangu za YouTube Na Google plus my logic brain... Niligundua kuwa wamarekani hawakwenda mwezini.

Baada ya Yuri Gagarin chini ya wa Russia kwenda space Russia akaonekana ni most powerful .

Sasa wamerakani wakatafuta namna ya kuwa piku Jamaa wakafake hiyo kitu.

Russia alikuwa akifuatilia issue nzima. Na pia kuna documentary inaonesha kuna layer moja ambayo ni ngumu kupita ili kufika mweZini.

Then siku ilikuwa inavyoruka Apollo Na huko walipo serikali ilizibiditi media and things like that ukicheki hiyo utagundua reason kuwa marekani hakufika Kule.

Lakini pia Neil Armstrong Na wenzie wawili walivyorudi wakasema wanastaff Na interview zote walikuwa wakifanya recorded kuna moja walifanya live Jamaa Kila swali anajibu nimesahau.

Sasa mchezo wa zile picha ulifanyika hapo area 51 Nevada ndio mana wanazuga.

Coz hata movement alizokuwa anafanya Armstrong zilikuwa haziendani Na physics knowledge au Na real situation.

Hiyo issue ya CERN Nilianza kuijua baada ya kucheki movie moja inaitwa LUCY. then kucheki nikaona Hiyo project wanataka kuprove kuwa dunia imetokana Na big bang theory so wameianzia opp kurudi mwanzo Na haina hatari kwa dunia
 
natamani kucheka! Ki ukweli nimecheka, kama wajuzi walivyosema hapo juu, kunadhaniwa kuwa na viumbe wa anga za mbali walitua area 51(walikuwepo, sijui kwa sasa) h abari za hapo ni siri sana, na mengi unayoyasoma yametoka kwa kuvujavuja! Unahijati kukomaa kweli kujua habari za alien kwa sababu kiasi kikibwa zinashindana na imani za dini zetu, kuna wataalam wa sayansi wa nasa,cia,nsa ambao wanaweka dini pembeni ili kufanikisha masuala ya tekinalojia!! Hawa wanajua namna ya kuwasiliana na viumbe wengine(ambao kwa kawaida hawapo,kwa siri wapo)wakatafuta eneo la ziwa la magadi na jangwa lililo katikati kama bonde kuuuubwa wakaliita area 51, linalindwa kupita maelezo, hata ndege hazipiti anga lake! Sasa kazi ilikuwa kutengeneza mazingira wa kuwapata hao (alien) kuna michoro mingi ya ajabu area 51 kuanzia geomatrik,pantagram...
hayo ya viumbe wa ajabu wanaoishi miaka elfu kumi yalisemwa zamani wakati hii issue ya rea 51 ilikua ni issue ambayo ni classfied,ingawa kwa sasa mengi kuhusu area 51 yamekua declassfied na watu wamejua kwamba ni eneo lilikua na lab nyingi za siri za kijeshi na pia walitumia kufanya cloning y virus na bacteria ambao waliwatoa nje ya sayari hii ya dunia..ila hakukuwa na mauzauza yoyote zaidi ya sayansi tu iliokua ikiendelea pale
 
haya mambo hayawezi kuisha humu maana yanaendana na imani kama ilivyo uwepo wa mingu ki sayansi na uthibitisho wake, kama mapepo na mashetani, kama uwepo wa malaika nk, ila viumbe wengine (alien) wapo!!
 
Wabongo kwa kuamini conspiracy theories!

Area51 imejaa conspiracies kama ilivyo illuminati au freemasonry hapa wote mnajazana chenga tu Hakuna anaejua

Kama linalindwa nyie mnajuaje? Tatizo waaTz mmejua kuingia YouTube na Google basi wote mnajifanya researchers mliobobea. Smh

Hakuna uthibitisho wa aliens mahala popote duniani acheni kujazana ujinga

Naongezea na huko wanapo paita eneo la siri A51 ndio waliko fake ni mwezini NASA wakaudanganya ulimwengu eti wametua mwezini
 
tamimusalim hili ni eneo walikopiga picha za Apollo 11 kwamba wamefika mwezini ndio maana CIA na NASA hawakubali watu wapasogelee maana SIRI ya USA kwamba hawajawahi kwenda mwezini itafichuka
na wameweka hizo allien nyingi kuihadaa Dunia lakina Putin (wa Russia) kawakaba waseme ukweli km walifika mwezini au walicheza Moon fake hapo More Faked Moon Landings - We never landed on the moon!

  • hapa utaona picha nyingi za Allie zizoiiwa
  • Neil Armstrong did not land on moon.

nohelmet.jpg

Upo sawa kabisa na Mimi hata hao wanao waita Alliens huenda ni robot au walemavu wameandaliwa wakapelekwa kuishi huko,

swali; Kwanini NASA hawataki kwenda/kurudi mwezini kama kweli mwanzo walienda na kutua mwezini?
 
Ni base ya jeshi La anga nchini Marekani ipo kati kati ya jangwa eneo la nevada. Ni eneo ambalo zinafanyika project za kijeshi ambazo zinahitaji usiri wa hali ya juu. Kama utengenezaji na majaribia ya silaha za maangamizi ( deadly weapons).

Sehemu hiyo ina sensor zenye uwezo wa hali ya juu hata panya au mjusi akikatisha anakuwa detected na kuangamizwa
 
Duh
 
Back
Top Bottom