Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Wabongo kwa kuamini conspiracy theories!

Area51 imejaa conspiracies kama ilivyo illuminati au freemasonry hapa wote mnajazana chenga tu Hakuna anaejua

Kama linalindwa nyie mnajuaje? Tatizo waaTz mmejua kuingia YouTube na Google basi wote mnajifanya researchers mliobobea. Smh

Hakuna uthibitisho wa aliens mahala popote duniani acheni kujazana ujinga

toa elimu tujue mkuu,sio maneno mazuri haya
 
area 51 ipo basically ina deal na revolution ya technology kwa kusaidiwa na so called satanic species from outerspace very highly intellectual ambao ni very secretive
 
Nobody knows what the heck is happening at AREA 51, so people due to curiosity, come up with weird conspiracy theories in order to clear their own doubts.
 
toa elimu tujue mkuu,sio maneno mazuri haya

Huo ndio ukweli achane reseach za ku google HOJA kama yule kiumbe ni mwalimu wa ujasusi tena intelligent kuliko wao kwanini akamatwe na kushikiliwa? Je asingeweza kuwatoroka? Anaongea lugha gani? Kama ni siri hat rais wa nchi hiyo huenda kwa kiapo siri hizo nani kakuambia? Those are conspiracy theory tuwaone wako juu kijasusi na kumbe hata walipigwa na Vitinam wakaishi kutengeza filamu za uongo kuwa walishinda. USA ni weupe tu
 
Hizi ni hadithi za alinacha zinaishia Imani. Siri zenyewe ziko kwenye google. Acha nicheke. Gamboshi pia ni eneo lisilojulikana eti lipo jiji newyork, london na ile unaijua cha mtoto . Amin
 
Mkuu..kumbe aliens wanavaa t-shirt.. asante kwa kunitoa tongotongo

Tukiambiwa VILAZA tunatokwa povu Lkn uongo uwe na asilimia ya Ukweli! Hii si JF Intelligent post zisizo mshiko ziwe fb kwa watoto. Hao allein wenye T shirt inaingia akilini? Walipewe au walitua nazo? Alikamatwa mmoja au hao wawili? Ukifuata uongo wa UsA unataona wako juu nakumbe hata ndege zao za vita si advanced kama za ufaransa na uingereza ,mtambo wao wa kutungua makombora patriotic hauna umakini hata kulenga Scud ya kirusi iliyorekebishwa. Tujue kuna watu huwa namshinda adui kwa mbwembwe na maneno angekomaa tungekula kona hiyo ndio USA wazee wa CONSIPIRACY THEORIES si ajabu ukaambiwa CIA huwa wanamsikiliza kila mtu dunia yote na video watu wote wanazitama kupitia kituo cha ujasusi kule Maryland Marekani kwenye komputa iongozwayo na allein. Hiyo nayo amini
 
Uthibitisho. Habari zote unazoongelea hapa zimejengekeka katika nadharia na conspiracies tu bila uthibitisho wowote

Sababu wabongo wanapenda sana conspiracy theories na habari za uchawi na ulozi basi hapa watashikwa bila kufikirisha akili. Ndio maana wengi wanaamini mambo ya Freemasons, uchawi, majini aliens na mambo kama

Area51 Ni eneo lipo na restricted kweli ila nini kinafanyika mle ndani hakuna ajuae hivyo tusijazane matango as if mnauhakika. Mtu yeyote anaweza feed chochote kwenye internet kama habari kuhusu hili eneo zinavyoweka YouTube na kila mtu bila uthibiti

Mwingine kaja kuongea pumba kuhusu projects wanazofanya CERN eti Ni kwa uwezo wa aliens na si binadamu WTF! Kama sisi hatuwezi tumia akili zetu sio kila mtu hawezi, pale Ni experiments za quantum physics wala si miujiza

HAKUNA UTHIBITISHO WA UWEPO WA ALIENS MAHALA POPOTE DUNIANI AU ANGANI
Mungu Yupo?
 
Tanzania iko wapi

Nyoosha mona kwa moja, kunja kilia utakuta barabara ya vumbi imeingia kushoto,fuata hiyo njia...endelea kwenda tu...we endelea kwenda upa de wa kushoto kwa mbele kidogo kuna uchochoro, sasa fuata hito chocho nenda nayo tuuu......
 
[FONT=Merriweather, serif]Area 51 aka dreamland aka Paradise Ranch aka Watertown ni eneo lenye simulizi za kusisimua na chanzo cha sinema na vitabu vingi sana. Zaidi ya kuwa ni sehemu ya majaribio ya silaha za technolojia ya hali ya juu lakini pia ni eneo ambalo lilikuwa linatumika kuzisasambua silaha za Urusi ya kisovieti zilizonunuliwa kupita mawakala (client states) na kupelekwa marekani. Mathalani ndege za Kirusi aina ya MiG ambazo zilikuwa hazijulikani sana na wamarekani kwa maana ya performance na vulnerability zilipatikana baada ya majasusi wa kimarekani "kuwanunua" marubani wa Kisovieti ambao walirusha ndege zao za MiG kutoka Poland kwenda Denmark, kutoka korea kaskazini hadi korea kusini na wengine kwenda Uturuki. Ndege hizi zote ziliishia Area 51. Ukiangalia movie kama "independence day" inazungumzia sana hii kitu. Pia kitabu cha mwandishi maarufu Sidney Sheldon kiitwacho "Doomsday conspiracy" kinaelezea hii makitu [/FONT]
 
soma post zote tangu mwanzo utaelewa! alien unaowaona picha zao sio kweli, hao nasa wamewapachika kuficha alien halisi, pia tunaposema watu "smart" inaelekea hujaelewa. hukuna mjomba "smart" huku kwetu! huku hata wakiletewa ujuzi na hao waliokutana na watu smart wanaharibu, kwetu hakuna mtu smart wa aina ya nasa wanaowataka! huku kuna wagumu na wabishi kama unavyoona hapa jf,tanzania ina vitu vingi vya kukuza uchumi kuliko marekana, ila imekosa watu wanaotumia akili za hali ya juu, (itakuwa kuwasiliana na alien!) hapa ubishi,wizi,miradi hewa ndio sawa, mambo ya kutafuta ugunduzi,maarifa makubwa,alien yatabaki hukohuko usa (area51) na kwingineko,sisi tunaletewa teknolojia na tunatumia tu, bisha mkuu kwanguvu...
 
Silicon valley ni eneo lilitengwa marekani kwa ajili ya kuvumbua na kutengeneza vifaa vya kiteknolojia ya kisasa. huko mtu wakawaida haruhusiwi kufika maana wanaogopa kuwa wataibiwa teknolojia yao.
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom