Unakuta ni dada/kakaako

Msolid1990

Senior Member
Apr 2, 2012
144
49
Imekaaje siku umepost thread ya kutafuta gf/bf huku jf. Then anajitokeza mtu ambaye yuko serious mnapanga kukutana. Unexpectedly unakuta ni dada/kakaako ambaye alikua anakusisitiza sana usijiingize kwenye masuala ya mapenzi mapema.
 
hiyo tunaita ajali kazini...kuna watu humu baba/mama zao wapo so mnaopenda kutongozana humu kuweni makini:rolleyes:
 
no big deal... issue ingekuwa umechukua mlupo usiku wa manane uka-do nao gizani halafu asubuhi kucheck ukagundua ni dadako tumbo moja...
 
Hivi mpaka mnapeana no za Simu, kama dada yako hujastuka tu?

Au mipango yote mlimalizia JF?

Ila mimi huwa na wasiwasi na nephews zangu, na hivi vijana wameingia wengi humu!
 
Imekaaje siku umepost thread ya kutafuta gf/bf huku jf. Then anajitokeza mtu ambaye yuko serious mnapanga kukutana. Unexpectedly unakuta ni dada/kakaako ambaye alikua anakusisitiza sana usijiingize kwenye masuala ya mapenzi mapema.

Haiwezekan mpaka kukutana hamjajuana kwakuwa lazma mpaka kukutana mtakuwa msha exchange namba za simu na hilo litawafanya kugunduana
 
Back
Top Bottom