Unakumbuka wimbo huu?

kukundege

JF-Expert Member
Aug 3, 2016
551
259
Tanzania inamtaka lowasa lowasa jembe lowasa × 2.

1.vijana wanasema lowasa mtatuzi wa ajira lowasa. Bora uje utuokoe lowasa. Tumaini la wanyonge lowasa.

2,).Na walimu wanalia lowasa. Ccm yatuchosha lowasa. Tumekopa tumechoka lowasa. Mtetezi wa wanyonge lowasa

3.Na wazee wanalia lowasa. CCM haitufai lowasa.

Mafao yetu hatupati lowasa Njoo baba utuokoe lowasa Nilikuwa kwenye kampaini kipindi kama hiki. .wewe ulikuwa wapi unakumbuka nini karbuni
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom