Unakumbuka nini kambi za UMISETA miaka ya 1980-1990?

Mlitika

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
457
260
Wadau tuliokuwa shule enzi hizo mambo ya UMISETA yalikuwa na msisimko wake. Unakumbuka nini enzi hizo:

MPIRA WA MIGUU
Michuano ya watani wa jadi:
Mkwawa vs Tosa; Mazengo vs Dom Sec; Uyui vs Mihayo; Tbr Boys vs Milambo; Pamba vs Nsumba, etc

MASHINDANO MENGINE
Riadha, nyimbo, kurusha mkuki, .........

VITUKO VYA WANAFUNZI
Ugonvi, Ubakaji, kuiba misosi, kupiga waamizi

Na mengineyo kama waalimu wanoko, matukio ya ajali na vifo, na matukio mengune mengi.

NAPULIZA KIPENGA!
 
Ee bwana ee umenigusa pale pale! Kombe la UMISETA tangu lianzishwe Tabora in the 1960's halikuwahi kutoka Uyui hadi miaka ya 90 nadhani! Uyui watoto walikuwa wababe football na basket ball ile mbaya! Uyui hizo zilikuwa enzi za H/M R.H. Patel R.I.P. Afu Tabora boys walikuwa wakicheza na Milambo lazima FFU wawepo! Maana yake wataanza na kumtandika refa afu wataendelea mtaani hadi mashuleni!
MIC THOSE OLD GOOD DAYZ!
 
Mkuu ulikuwa shule gani Tabora?
 
Mkuu ulikuwa shule gani Tabora?

Ustaadhi nilikuwa Uyui The Great! Ikifika wakati wa michezo kama UMISETA shule ilikuwa tamu kinoma! never miss! Vijana walikua wananyanyasa kwenye kabumbu na basket hakuna mfano! Akina Mobelo, Amini Mkama, Betto, Said, Issa... Acha tu aisee!
 
Miaka hiyo nakumbuka Uyii na Kinondoni Sec zilikuwa zinavuma sana kwa michezo lakini taaluma, ha ha ha ha haaa!
 
Back
Top Bottom