Unakumbuka ma-dj wakali enzi hizo?

Lol! Kumbe mtoto wa nyoka weye manake unajua miziki kama mzazio!
Tatizo la dj wa bure koo linakuwa kama lina turbo, unameza vimiminika tu! Ntakufikiria lakini best, besdei yangu basi.

Mie nitazuka kwenye besdei yako Best, nifahamishe kiwanja cha kujirusha na wakati muafaka. Vimiminika usiwe na wasiwasi navyo :) Itakuwa ni aste aste :)...ila msuba siku hiyo ucheze nao mbali LOL!
 
Lol! Msuba nimeacha siku hizi, si unajua ukubwa dawa best. Party yenyewe anaandaaga wifi AshaDii, akisikia kaharufu tu nimekwisha!

Mie nitazuka kwenye besdei yako Best, nifahamishe kiwanja cha kujirusha na wakati muafaka. Vimiminika usiwe na wasiwasi navyo :) Itakuwa ni aste aste :)...ila msuba siku hiyo ucheze nao mbali LOL!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom