Unakumbuka kumbi za burudani enzi hizo..

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,381
4,648
Unakumbuka kumbi za burudani enzi hizo... 1.lang'ata 2.mboe 3.vision 4.ymca 5.vijana kinondoni endeleaa tupia hapa........
 
Motel Agip, Twiga, Hotel Africana, Rungwe Oceanic, Maggot, Silent Inn, White House,
 
ahaaa...ahaaa...mkubwa unatisha...unapakumbuka...silver?
 
Motel Agip, Twiga, Hotel Africana, Rungwe Oceanic, Maggot, Silent Inn, White House,

Ha haaaa aisee silent in kulikuwa na Friday facult maalum kwa ma-dent wa vyuo ilikuwa si mchezo tunakusanywa na DCM moja kutoka vyuoni kwenda maeneo ya mwenge ilipkuwa silent Inn! Gud days hz jamani duh!
 
wakati umeenda sana...unakumbuka safari resort kimara alikuwa anapiga KING KIKII na bendi yake ulifika wakati anpoingia bwana mkubwa ukumbini mziki unazimwa watu wote wanasimama....
 
Dar es salaam inanukia wakati huo...kulikuwa hakuna maghorofa ukiona maghorofa ujue MSAJILI WA MAJUMBA
 
Sijui humu kuna wangapi wameshaziwahi: Splendid, GI, Arnatouglou (ana toglo), Amana, Coretco, Railway club, Summit (Kilimanjaro Hotel), Africana, BBH, Sea vew, Etiennes. Kama siyo kijana wa mjini wa zamani, huwezi kuzijuwa hizo.
 
Iringa Ruaha international.

Morogoro Shimoni(moro hotel).

Silent inn kibongobongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom