Unakikumbuka kikosi hiki?

Na hiki je??

1.Madata Lubigisa/Juma Mhina
2.Yusuf Ismail Bana
3. Athman Juma Chama
4. Ibrahim Khamis Magongo
5.Joram Mwakatika
6. James Ng'ong'a
7.Idd Watchee
8. Amri Ibrahim
9. Khalid Bitebo
10. Antony Nyembo
11. Abuu Juma
Hao ni wana T.P. Lindanda original
 
Forza Barantanda
Sempre Barantanda

Halafu kuna kikosi hiki kilichomchapa Barcelona magoli manne mtungi(4-0) mwaka 1994 kwenye fainali ya UCL

1.Sebastian Rossi
2.Mauro Tassott
3.Christian Panucci
4. Filippo Galli
5.Paolo Maldini
6.Marcel Desailly
7.Roberto Donadoni
8.Demetrio Albertin
9.Dejan Savićević
10.Daniele Massaro
11.Zvonimir Boban
 
Halafu kuna kikosi hiki kilichomchapa Barcelona magoli manne mtungi(4-0) mwaka 1994 kwenye fainali ya UCL

1.Sebastian Rossi
2.Mauro Tassott
3.Christian Panucci
4. Filippo Galli
5.Paolo Maldini
6.Marcel Desailly
7.Roberto Donadoni
8.Demetrio Albertin
9.Dejan Savićević
10.Daniele Massaro
11.Zvonimir Boban

Kwa kwa kwaaaaaaaa
Barantanda wanipa raha mie na Milan yangu jamani doh...
 
Na hiki je??

1.Madata Lubigisa/Juma Mhina
2.Yusuf Ismail Bana
3. Athman Juma Chama
4. Ibrahim Khamis Magongo
5.Joram Mwakatika
6. James Ng'ong'a
7.Idd Watchee
8. Amri Ibrahim
9. Khalid Bitebo
10. Antony Nyembo
11. Abuu Juma
Hao ni wana T.P. Lindanda original

Hapo mtangazaji umkute marehemu Dominick Chilambo...
Mtumeeeeeeeeeee
 
Salim waziri
Saidi korongo
Deogratis muhani
Idrisa ngulungu
Yassin napil
Ally maumba
Ally jangalu
Kassa Mussa
Juma mgunda
Husein mwakuluzo
Razzack yusuph Careca...

Nani anaikumbuka hiyo timu?

Hivi out of curiosity hawa waheshimiwa wa Coastal Union where are they now? Legends are always forgotten, lkn sio kwa wenzetu ulaya
 
Hivi out of curiosity hawa waheshimiwa wa Coastal Union where are they now? Legends are always forgotten, lkn sio kwa wenzetu ulaya

ndugu yangu ukitaka kusikia uchungu basi usikie baadhi ya wachezaji wa zamani pindi wanapokuwa wanahojiwa.

Yaani wako kwenye maisha ya chini sana.
wanaishi maisha ya kuombaomba na kutumia umaarufu wao ili kujikimu na maisha.

Wengi wao wakihojiwa utasikia ''eeh sasa hivi mimi nafanya shughuli zangu binafsi, yaani ni mfanya biashara''

Wakati hawa ndo walitakiwa waongoze vyama vya soka na kusimamia kila kona yenye harufu ya soka coz wao wamecheza na wanalijuwa.
 
Katika ukurasa hii kila mzalendo atakuwa na haki ya kutukumbusha kikosi cha timu na akumbushe pia ni tukio gani lililopelekea asikisahau kikosi hicho.

Kwa kuanzia basi naanza na kikosi cha Gor Mahia toka Kenya.
Kikosi ambacho kilifuta uteja kwa wababe wao enzi hizo timu ya FC Leopard...

1) Dan Odhiambo
2) Thobias Ocholla ''jua kali''
3) Peter otieno ''Basanga''
4) John Bobby Ogolla
5) Austin Oduor
6) Abbas Khamis Magongo
7) John Okelo ''Zangi''
Sammy Owino ''Kempes''
9) William Ouma Chege
10) George Onyango ''Fundi''
11) Sammy Onyango ''Jogoo''

Ehhh Hii sredi ni ya good memories.
Mashabik wa Gor Mahia hawatawahi kumsahau Mbongo huyu Abass Khamis Magongo. Walimchagua kama the best player ever to play for Gor Mahia

Tazama ukurasa huu
http://kenyapage.net/gormahia/fan-suggestions-g.html

Na huyu ni Magongo na wenzake wa Gor Mahia wakiwa kule Monrovia mnamo mwaka wa 1988
 
wako wapi leo

3) Peter otieno ''Basanga'' : Kocha wa Sony Sugar katika ligi kuu ya Kenya
4) John Bobby Ogolla : Assistant coach wa Sofapaka katika ligi kuu ya Kenya

5) Austin Oduor: Mwanao Arnold Origi yuko katika ligi ya Sweden

6) Abbas Khamis Magongo: Marehemu

7) John Okelo ''Zangi'' : Marehemu
8) Sammy Owino ''Kempes'': Now known as Samuel Olali is a youth coach in Texas

10) George Onyango ''Fundi'': Timu meneja wa Bandari FC
11) Sammy Onyango ''Jogoo'': Marehemu (car accident 2003)
http://www.kenyapage.net/football/comments/sammy-onyango.html
 
wako wapi leo

3) Peter otieno ''Basanga'' : Kocha wa Sony Sugar katika ligi kuu ya Kenya
4) John Bobby Ogolla : Assistant coach wa Sofapaka katika ligi kuu ya Kenya

5) Austin Oduor: Mwanao Arnold Origi yuko katika ligi ya Sweden

6) Abbas Khamis Magongo: Marehemu

7) John Okelo ''Zangi'' : Marehemu
8) Sammy Owino ''Kempes'': Now known as Samuel Olali is a youth coach in Texas

10) George Onyango ''Fundi'': Timu meneja wa Bandari FC
11) Sammy Onyango ''Jogoo'': Marehemu (car accident 2003)
http://www.kenyapage.net/football/comments/sammy-onyango.html

Abbas Khamis Magongo-Marehemu????RIP
He was the best ever Tanzanian born player playing for Harambee Star.
 
Na hiki je??
Paul Rwechungura
Deo Mkuki
Mao Mkami
Rashid Abdallah
George Magere Masatu
Hussein Masha
Fumo Felician/Beya Simba
Khalfan Ngassa
Juma Amir
Kitwana Selemani
Hamza Mponda
Wana T.P Lindanda Kawekamo!!!!
 
natamani wadau mara kwa mara muwe mnatukumbusha.japo nimechelewa sitosita kusema kikosi cha enzi zile cha ac milan kilikuwa kinatisha.
 
Na hiki je??
Paul Rwechungura
Deo Mkuki
Mao Mkami
Rashid Abdallah
George Magere Masatu
Hussein Masha
Fumo Felician/Beya Simba
Khalfan Ngassa
Juma Amir
Kitwana Selemani
Hamza Mponda
Wana T.P Lindanda Kawekamo!!!!

Hii ni Pamba F.C ya Mwanza yenyewe enzi za miaka ya 90 mwanzoni,lkn umemsahau Nteze John kiboko ya Yanga!!!!
 
Unakikumbuka hiki????

Khamis Kinye
Yusuf Ismail Bana
Fred Felix Minziro
Allan Shomari
Athman Juma Chama
Isihaka Hassan Chukwu
Omar Hussein Keegan
Elisha John
Makumbi Juma Homa ya jiji
Abeid Mziba
Hussein Idd

Umenikumbusha mbali kaka! Kocha wao alikuwa nani?
 
Kaka wachan na hii Simba bana ilikuwa si mchezo

Hakuna Simba kama ile bwana,hata hawa wa mwaka huu hawajawafikia wale Simba,hajawahi kufungwa zaidi ya kutoka droo moja tu,hiyo ilikuwa ni mwaka 1996.Simba ile ilikuwa kiboko bana!
 
Umenikumbusha mbali kaka! Kocha wao alikuwa nani?
Sorry dogo,Kocha simkumbuki vizuri.
Na hiki je???

Khamis Kinye
Yusuf Ismail Bana
Ahmed Amasha
Athman Juma Chama
Isihaka Hassan Chukwu
Juma Mkambi General
Hussein Idd
Charles Boniphace Mkwasa
Abeid Mziba
Makumbi Juma
Omar Hussein Keegan/Juma Kampala
Hii Yanga ilikuwa moto mbaya sana kwa Simba!!!!1
 
Salim waziri
Saidi korongo
Deogratis muhani
Idrisa ngulungu
Yassin napil
Ally maumba
Ally jangalu
Kassa Mussa
Juma mgunda
Husein mwakuluzo
Razzack yusuph Careca...

Nani anaikumbuka hiyo timu?

Masahihisho kidogo mkuu, Usahihi ni DOUGLAS MUHANI.
Siku hizi anasikika sana TBC Taifa akiwa commentator kwenye match za ligi ya bongo na hata mechi za kimataifa pia.
 
Na kikosi hiki je


Steven Nemes
David mwakalebela
Keneth Mkapa
Godwin Aswile-Mulimba
George Masatu/Ramadhani Maufi Renny
Hussein Aman Masha
Mchunga Bakari
Michael Paul-Nairon
Innocent Haule
Saidi Mwamba-kizota
Dua zaidi


Hii ilikuwa Taifa stars V/s Ghana
Ccm kirumba mwanza
 
Sorry dogo,Kocha simkumbuki vizuri.
Na hiki je???

Khamis Kinye
Yusuf Ismail Bana
Ahmed Amasha
Athman Juma Chama
Isihaka Hassan Chukwu
Juma Mkambi General
Hussein Idd
Charles Boniphace Mkwasa
Abeid Mziba
Makumbi Juma
Omar Hussein Keegan/Juma Kampala
Hii Yanga ilikuwa moto mbaya sana kwa Simba!!!!1

Hilo ni Yanga Dume yakhe...simba hapindui hapo
 
1) Matokeo
2) Saga
3) Modest
4) George Ngasongwa
5) Baba Dimu
6) Shomari
7) Erick Mzungu ''cantona''
8) Habib
9) Mfede
10) Kalikawe
11) ....................

Kocha Arigo Sacchi.
 
1) Matokeo
2) Saga
3) Modest
4) George Ngasongwa
5) Baba Dimu
6) Shomari
7) Erick Mzungu ''cantona''
8) Habib
9) Mfede
10) Kalikawe
11) ....................

Kocha Arigo Sacchi.
Kaka hapo umenikumbusha mnyama ABAJALO(ABUJA) enzi hizo
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom