NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
ivuga ni kikabila gani hichooo au kigunya???
mcheku teta ki aho
mcheku teta ki aho
ivuga ni kikabila gani hichooo au kigunya???
daniel yona na gray mgonja
mmmmh nimegusa sipo ngoja nnyamaze naona leo hukuamka salama..... Mie hicho sikijui mngoje fatma bawazir....
hamna ..nipo fresh sa ivi ndio nalala..hao niliowataja ni mafisadi wanatoka kwenye hilo kabila
haaa usije ukauwa pakaM maana naona maneno yako yanionyesha sura yako jinsi ulivyokasirika,,,,,
Huwa sikasiriki mama.