Unajuaje kama ni male au female?

na mm mtu akijua ni male au female ..nampa zawadi

Hebu sanua (tangaza) huo m'jifti tuusikie wajasiri wa mali , zawadi za Ubuyu, Biscut , na vinavyofanana na hivyo situmii , nataka zawadi isiyokwisha kama Isidingo.
 
Judge unajua kukazana eeeh?

Tena ule ukazanaji "old skull " sio huu wa Fcbk na Dot.com ! Sie wakongwe kwenye miradi bwana !
Unaweza ukaniacha Dar ndo nauanza mradi, ukaenda Moro, ukarudi ukanikuta bado niko JUU ya mradi .
 
Tena ule ukazanaji "old skull " sio huu wa Fcbk na Dot.com ! Sie wakongwe kwenye miradi bwana !
Unaweza ukaniacha Dar ndo nauanza mradi, ukaenda Moro, ukarudi ukanikuta bado niko JUU ya mradi .

lo lo...kweli asee...
nyie wazamani mnajua kujituma...
na miradi yenu ilikua ya uhakika bana...
siku hizi mradi mmoja wadau mia...hata kukazana unashindwa...
 
Hebu sanua (tangaza) huo m'jifti tuusikie wajasiri wa mali , zawadi za Ubuyu, Biscut , na vinavyofanana na hivyo situmii , nataka zawadi isiyokwisha kama Isidingo.

sema ww...
mm nawaambia ukitamka aina ya zawadi mtu anakua na munkari zaidi...
duh umeniua hapo pa isidingo...najaribu kuiwaza iyo zawadi asee...
 
lo lo...kweli asee...
nyie wazamani mnajua kujituma...
na miradi yenu ilikua ya uhakika bana...
siku hizi mradi mmoja wadau mia...hata kukazana unashindwa...

Namipeni pole ! One project mainjinia rundo ! Hata products ikipatikana haileweki ni ya injinia gani !
Kwanza hata hiyo products kupatikana napo ni issue !
Si mnaingia kwenye miradi na gloves !
Sisi tulikua twapiga kazi with bare hand bwanaa!
Na production zetu zikipatikana zinakua more creative ! Mifano michache ya products za kale angalia Mchambuzi, Mwanavillage , pancrease , Nyani na wafananao na hao.
 
Pole !
Mambo
Karibu tusheherekee siku ya ma'wifes wetu leo duniani , bado nachakata sijui hii siku tunaisherekeaje !
Sijui ni kwa mapilau na minyama ?
Au kupombeka ? Au kunanihii ?

Mimi naona mapilau then kunanihii
 
Nilitaka kufahamishwa na wanajamvi wenzagu,je utajuaje huyu member ni me au ke?
Sidhani kama niko sahihi lakini hahisi kimojawapo ni upangiliaji wa maneno kwenye comment.
Siamini kabisa kuwa member mwenye jina la jesca kuwa ni lazima awe mwanamke and viservesa.
Hayo ni maoni yangu hebu nipe tips zako

Mimi ni MEKU.
Hamna shida tena ya kupata shida kujua jinsia.
 
Mimi nikisoma thread 5 za member huwa ninamuelewa kama ME au KE hata akibadilika vipi? Kuna elements za uandishi, zinatofautiana kati ya wanawake na wanaume. Ukitaka kujua ninavyojua niPM nitakujulisha.
 
Back
Top Bottom