Unajuaje kama ni male au female?

mambo

JF-Expert Member
Jun 11, 2007
2,373
5,600
Nilitaka kufahamishwa na wanajamvi wenzagu,je utajuaje huyu member ni me au ke?
Sidhani kama niko sahihi lakini hahisi kimojawapo ni upangiliaji wa maneno kwenye comment.
Siamini kabisa kuwa member mwenye jina la jesca kuwa ni lazima awe mwanamke and viservesa.
Hayo ni maoni yangu hebu nipe tips zako
 
ukiweza kujua jinsia ya KONGOSHO basi wengine hawatakupa tabu...
 
ukiweza kujua jinsia ya KONGOSHO basi wengine hawatakupa tabu...

Kongosho anaweza kureply kama male na anaweza kujifanya kama female.............big kongosho we mjanja sana
 
naweza...tatizo hata nikipata unao uwezo wa kukanusha...!

BAGAH ! Si upunguze vionjo vya lugha bwana, kakakwambia guess her gendar, umeanza politic ! Ooo! Imeenda ikarudi !
We funguka fasta!
 
ningependekeza pia ufugaji wa ngombe wa kisasa na wa kienyeji. (Dairy farming)

unapenda maziwa?

Na hasa Mkazane sanasana hapo kwenye Ng'ombe wa Mayai , na Kuku wa Maziwa. Mambo ya kilimo kwanza hayo ! Hata mie niko serious na haya maneno, staki mchezo hata kidogo.
 
Na hasa Mkazane sanasana hapo kwenye Ng'ombe wa Mayai , na Kuku wa Maziwa. Mambo ya kilimo kwanza hayo ! Hata mie niko serious na haya maneno, staki mchezo hata kidogo.

Mbavu zangu mie jamani.mkuu nimecheeka hapa mfululizo mpaka kila mtu akkashtuka.jf oyeeeeeeeeeeeee
 
Waulize tu, kama mtu hasumbuliwi na swali lako atakupa jibu.
Binafsi mi ni mwanamke.

Ahsante wonder woman ,nilitaka tu tuchemshe bongo wanajf kufikiria ni kitu gani kinakufanya ujue huyu ni mwanamke?ndio nikasema may be comments Zake?labda wewe unafikiria nn?
 
Back
Top Bottom