Unajuaje kama msichana ana mtoto au ameshawahi kuwa na mtoto...

Sijaelewa hapa kauliza swali mwenyewe na amejijibu mwenyewe! Inakuaje? Au alijua ame-login kwa ID yake nyingine?? Ukiwa na ID nyingi lazima uwe smart jason
Sikuiona hii post yako
Nami nimemuuliza same questions!!
 
Last edited by a moderator:
vipi kuhusu matiti. Huwa yanakuwaje?

njia sahihi na ya uhakika, angalia msitali mweusi unaogawanya tumbo sehemu kuu mbili, kushoto na kulia. Mstali huu kitaalaamu huitwa linear alba. Unaanza juu kidogo ya vigina kwenye kinena mpaka eneo linaloanzia kifua (xiphoid process). Huo mstari iwapo aliwahi kupata ujauzito lazima utaonekana, hata ukiwa mweusi sana huo mstari utaonekana tu.
 
Sikuiona hii post yako
Nami nimemuuliza same questions!!

jason kachanganya madesa si unajua tena Jf mtu anaanzisha sredi kwa id nyingine then anakuja kuijubi kwa id nyingine so inawezekana kajisahau tumpe mda anaweza akaja ku-edit
 
Last edited by a moderator:
Ni ngumu kuelewa labda umuulize na awe mkweli, chips mayai zimeharibu mambo
 
Mkweli atasema ukiuliza ukiona kimya tafuta mtu wake wa karibu uliza au jirani au hata ndugu zake utapata jibu.
 
Wendawazimu unanza pale binadamu, anataka kuchunguza yasio wezekana kuchunguzika.

Hahahahaha......hapo umenikumbusha hadithi za biblia kuna jamaa alikua anawaza sana kuhusu ufalme wa mbinguni huku akitembea kwenye fukwe ya bahari, mara akamkuta mtoto kachimba kishimo kidogo pembeni alafu anachota maji ya bahari anayaweka kwenye hicho kishimo. Yule bwana akamuuliza yule mtoto unafanya nini? Mtoto akamwambia anataka ayaweke maji yote ya bahari kwenye hicho kishimo. Yule jamaa akacheka sana, akamwambia hutaweza kuyahamisha hayo maji yote. Yule mtoto akamwambia ndio kama wewe, hutaweza kupata jibu la unachokiwaza, hayo unayowaza haina tofauti na hiki ninachokifanya (nimeelezea uelewa wangu wa hiyo stori, wanaoijua vyema wanaweza kutupia mistari hapa ikiwa kama source)
 
Hahahahaha......hapo umenikumbusha hadithi za biblia kuna jamaa alikua anawaza sana kuhusu ufalme wa mbinguni huku akitembea kwenye fukwe ya bahari, mara akamkuta mtoto kachimba kishimo kidogo pembeni alafu anachota maji ya bahari anayaweka kwenye hicho kishimo. Yule bwana akamuuliza yule mtoto unafanya nini? Mtoto akamwambia anataka ayaweke maji yote ya bahari kwenye hicho kishimo. Yule jamaa akacheka sana, akamwambia hutaweza kuyahamisha hayo maji yote. Yule mtoto akamwambia ndio

umekubushwa kitu ambacho hukijui wala huna uhakika nacho..mambo ya Biblia waachie wasomaji wa Biblia..
 
wekeni supporting details/photo...........................topic iyeleweke vizuri
 
Hahahahaha......hapo umenikumbusha hadithi za biblia kuna jamaa alikua anawaza sana kuhusu ufalme wa mbinguni huku akitembea kwenye fukwe ya bahari, mara akamkuta mtoto kachimba kishimo kidogo pembeni alafu anachota maji ya bahari anayaweka kwenye hicho kishimo. Yule bwana akamuuliza yule mtoto unafanya nini? Mtoto akamwambia anataka ayaweke maji yote ya bahari kwenye hicho kishimo. Yule jamaa akacheka sana, akamwambia hutaweza kuyahamisha hayo maji yote. Yule mtoto akamwambia ndio kama wewe, hutaweza kupata jibu la unachokiwaza, hayo unayowaza haina tofauti na hiki ninachokifanya (nimeelezea uelewa wangu wa hiyo stori, wanaoijua vyema wanaweza kutupia mistari hapa ikiwa kama source)

Kiongozi hiyo hadithi sio mstari wa biblia bali ni hadithi ya Mt Augustino alivokuuwa anajaribu kufumbua fumbo la utatu mtakatifu. Hata hivyo it is interesting kuwa unaifahamu hii story!
 
Back
Top Bottom