Unajuaje kama msichana ana mtoto au ameshawahi kuwa na mtoto...

kalou

JF-Expert Member
Aug 22, 2009
4,975
3,824
Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kuwa na uhusiano na binti mmoja,alikuwa na miaka 20,alikuwa mnene kidogo,..tatizo lilikuwa yaani kwa uzoefu wangu wa kipindi hicho na mpaka sasa siwezi kujua kwa uhakika kama yule msichana alikuwa na mtoto ama hakuwa naye,..wadau naomba mnipe uzoefu wenu kwenye hili especialy kama vigezo vyangu vya matiti na tumbo la huyo mwanamke vilifeli kabisa kunipa ukweli.
 
msitari mweusi ulochoreka toka sehemu ya juu ya pubic area hadi zinapokutana mbavu za kifuani, ukiuona huo ujue anae au ali abort au ilikuwa bahati mbaya
 
baadhi wanapata stretch marks tumboni

yeye alikuwa nazo stretch mark kidogo ila aliniambia kuwa zimetokana na ku-loose weight na picha zake za miaka ya nyuma kidogo alikuwa overweight
 
msitari mweusi ulochoreka toka sehemu ya juu ya pubic area hadi zinapokutana mbavu za kifuani, ukiuona huo ujue anae au ali abort au ilikuwa bahati mbaya

hawa wadada wetu na ma body lotion yote huwa aifutiki hiyo mistari.?
 
dah, yaani wewe
unaweza sababisha mtu akajichungulie kama anao.

Hongera bana.

msitari mweusi ulochoreka toka sehemu ya juu ya pubic area hadi zinapokutana mbavu za kifuani, ukiuona huo ujue anae au ali abort au ilikuwa bahati mbaya
 
kweli alikuokota, za mzazi zinajulikana tu

tena wengine unakuta tumbo limechafuka kabisa, napo uambiwe ni kupungua weight?

yeye alikuwa nazo stretch mark kidogo ila aliniambia kuwa zimetokana na ku-loose weight na picha zake za miaka ya nyuma kidogo alikuwa overweight
 
Wendawazimu unanza pale binadamu, anataka kuchunguza yasio wezekana kuchunguzika.
 
ukitaka kujua unamuuliza, kwa nini uhangaike kuchunguza mistari na mastretchmarks ambazo hazitokupa jibu la asilimia 100 ????!!!
 
Back
Top Bottom