Unajua kuongea lugha ya kabila lako?

Afu ngoja nikuonjrshe na hii, nayo niko mtata kidogo

Kwifo aree?
Nuuri madida na visoiya.
 
Afu ngoja nikuonjrshe na hii, nayo niko mtata kidogo

Kwifo aree?
Nuuri madida na visoiya.
Hahahahahahahahah umenichekesha sana Niifo kisha deny kongosho,Kwifo are iwe?
hahahahahahahahah umetisha.
 
huku mjini wanetu kiswahili kinawapa shida shauri ya English Medium, je kikabila utathubutu kuwamezesha si watapaliwa?
 
Back
Top Bottom