Unajua kilichowasibu wanafunzi hawa?

Nakumbuka kuna mwanafunzi mmoja hivi alihamia, mwalimu mkuu ambaye alikuwa ni mkali sana alimpa hii adhabu akamwambia 'shika masikio' yule dogo akayashika huku akiwa wima.
unajua nini kilichotokea.....?
 
Back
Top Bottom