Unajua kabisaa....

Yaaani maneno yako mwenyewe yanajikanyaga...! Unaposema kila mtu kaumbwa na mtu wake so haiwezekani ku-share unamaanisha nini wakati wewe unataka watu wafanye sharing juu yako....hebu KAJIPANGE ndo urudi hapa..it seems HUJIELEWI!

najielewa heart,we ndo hujielewi.
 
acha wivu na nyumba ndogo wewe fanya wivu kwa mkeo kama watu wamefika bei wacha waoe, Mpende mkeo vimeo achana navyo!

Nyumba ndogo ya rafiki yako alipotokea?umeona wapi?c wivu.ila ni aibu kwake.
 
Teh!Kama unawako tayari achia hiyo na wenzio ambao hawana wamiliki mkuu.Utakulaje tonge mbilimbili wakati wenzio hawana hata moja bana?
 
Back
Top Bottom