BHULULU
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 4,987
- 2,009
hebu fafanua tofauti iko wapi. kwa jinsi nilivyoona bendera mbili, naona kuwa zinafanana
Mkuu hapa hakuna ushabiki wa vyama,bali uhalisia wa mambo.Labda useme una tatizo la kutofautisha rangi!
hebu fafanua tofauti iko wapi. kwa jinsi nilivyoona bendera mbili, naona kuwa zinafanana
Bendera hizo zina tofauti kubwa mkuu wangu Scramble. Angalia rangi nyeusi na njano zilivyo kuzwa na kupunguza uhalisia wa rangi za Kijani na blue.hebu fafanua tofauti iko wapi. kwa jinsi nilivyoona bendera mbili, naona kuwa zinafanana
Scheme | Black | Blue | Green | Gold |
---|---|---|---|---|
British Standard 2660 of 1955 | 9-103 | 0-012 | 0-010 | 0-002 |
weka picha ya hiyo bendera iliyobadilikaUjio wa Rais wa Marekani unaweza kubaki kuwa ni kumbukumbu kubwa kwetu kama nilichokiona jana, yaani kubadilika kwa muonekano wa Bendera ya Taifa; kutakuwa kumesababishwa na ujio wa Rais Barack Obama!!
Barabara ya Julius Nyerere inayotoka Uwanja wa Ndege atakapopita Rais huyo kumepambwa bendera zinazofanana fanana na Baendera yetu ya Taifa la Tanzania niliyoizoea.
Naomba Watalaam wa mambo ya uraia na wazalendo wa nchi hii, mnijulishe kilichotokea mpaka bendera ikibadilishwa au ni kitu gani kinacho sababisha bendera ibadilishwe!
Naomba mnijuze ni chombo gani chenye mamlaka ya kubadilisha bendera ya taifa na hatua zipi zinazofuatwa mpaka Bendera ikabadilishwa!
Nilicho kiona kwenye bendera ya sasa ni kuufanya mchirizi mweusi unaokatiza kutoka ncha moja kwenda nyingine kufanywa mkubwa sana na kuifanya rangi hiyo kuwa dorminant kwenye bendera yetu, kinyume na Bendera ya zamani.
Siku zote huwa naamini kuwa Bendera ya Taifa ni tunu na Alama yetu ambayo ina vipimo halisi na haiwezi kuwa inachezewa chezewa!
Kama kuna mtu alipewa tenda ya kutengeneza bendera za Taifa kwa ajili ya ujio wa Obama na badala yake akatuletea bendera iliyobadilishwa bila kufuata utaratibu wa kubadilisha Bendera ya Taifa; Naomba asilipwe na achukuliwe hatua za kisheria na kinidhamu.
Maskauti wa Nchi wa sasa, mnaona kama mambo yako sawa na bendera yetu?
Wengine tupo Mbulu,tupia picha
Tatizo wengi wetu tunasahau lengo la ujio wa Obama.
Rangi ya njano inaonyesha madini na maliasi zilizopo aridhini,
hivyo kukoleza njano ni kumdhihirishia kua Mali zipo atachuma tu.!!
View attachment 100128Hii ni Bendera mpya ya Taifa
Jamani,
Mtengeneza bendera hajakosea hata kidogo. Sheria ya bendera yetu inaitwa {National Flag and Coat of Arms Act, 1971}. Ukiitaka isome kwenye link hii.
Ukishamaliza kuisoma utaona kwamba tulijikita na mazoea tu ya kudhani tulivyozoea kuiona ndivyo kisheria, lakini ukweli ni kwamba hakuna vipimo vya urefu kwa rangi fulani maadamu tu bendera iwe diagonally imegawanywa nusu kwa nusu.
Mbona bendera ya Jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar siioni?Hii ni bendera wakati tuko chini ya Wajerumani 1885-1919
Flag of Deutsch-Ostafrika (1885-1919)
Hii ni wakati tuko chini ya Mwingereza 1919-1961
Flag of Tanganyika (1919-1961)
Hii ni wakati tulipopata uhuru 1961-1964
Flag of the Republic of Tanganyika 1962–64
Hii ni bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania toka 1964-..........
Una maoni gani kuhusu bendera hizi je zinagusa au kuchangia sehemu yeyote ya maisha yako au unawezaishi bila hata kujua ama kutambua bendera yako ikoje kifupi hazisaidii
Hii ni bendera wakati tuko chini ya Wajerumani 1885-1919
Flag of Deutsch-Ostafrika (1885-1919)
Hii ni wakati tuko chini ya Mwingereza 1919-1961
Flag of Tanganyika (1919-1961)
Hii ni wakati tulipopata uhuru 1961-1964
Flag of the Republic of Tanganyika 196264
Hii ni bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania toka 1964-..........
Una maoni gani kuhusu bendera hizi je zinagusa au kuchangia sehemu yeyote ya maisha yako au unawezaishi bila hata kujua ama kutambua bendera yako ikoje kifupi hazisaidii
Unajiona umewazaaWala! Hazinigusi chochote, naona ni matambara tu yanayotungiwa maneno matamu masikioni mwa watu.
Nawashangaa wanaochoma moto bendera ati wana hasira na serikali zenye bendera hizo.
Damu inayogusa maisha ya mgonjwa siyo ile unayoiona kwenye chupa bali ni lile tone la damu linaloingia ndani ya mshipa wa damu. Je, umasikini wako unaondoka kwa kuiangalia bendera? Njaa hutoweka kwa aina ya rangi y abendera? Viini macho tu hivyo.