Unajua E.Lowassa sio Mmasai, ni Mmeru aliyeasi kabila, Arumeru mkataeni ila hela kuleni

vijiweni tunahabarishwa mengi. mara Ed. Lowassa na masai mara ni mmeru. wengine wanaenda mbali eti mchaga ndio maana anapigiwa debe kwa nguvu kubwa. pia wengine wanadiriki kumvusha nchi na kusema ni mkenya eti kwa sababu amewekeza sana huko. wanasema kampuni kubwa inayozalisha na kuagiza maua nchi za nje hususan uingereza ni mali yake. eti na kampuni kubwa inayotengeneza matairi na vipusa vya mpira ni yake. eti baba huyu tajiri balaa. ukweli ni upi?

Nasikia ni Mtanzania.
 
Ukweli ni kuwa watanzania tunataka kumchagua raisi wa nchi.hatuchagui mzee wa mila.siku tukitaka kuchagua mzee wa mila kila mhusika atauliza kabila la mhusika. Kwa sasa hatumchagui Lowasa kutokana na kabila lake bali kama mtanzania mwenye sifa za kuiongoza Tanzania.
 
Mmasai original ole Sendeka alisema Lowassa ni Mmeru kwa baba na mama ila alinunua Umasai ili apate priveleges mbali mbali ambazo huwezi zipata ukiwa mkabila kama waitwazo watu wa makabila mengine. Hii ni pamoja na uongozi. Kuhusu utajiri, huyu bwana ni tajiri sana ila hajiweki wazi. Anaficha utajiri kwani hauna maelezo ya kuridhisha, na hii inadaiwa tangu enzi ya Mwl. Nyerere.
 
Una uliza kabira , unataka kutambika? hayo mambo ya kulizana makabira tulikatazwa na Nyerere.

Na angekuwa hai leo asingekuwa CCM.Angekuwa alisha waachia.
 
Hebu weka kabila lako hapa Ili tukujue sasa, mnakaa mtaani mnabishana mambo ya kipuuzi, yasiyo na tija! Mnabishana kujua kabila la mtu?? Kwa mtaji hyo hata lofa na mpumbavu atakuwa mjanja zaidi,, kwa nini msingejadili ishu za msingi ambazo zinaleta chachu ya maendeleo!
 
Edward Lowasa ni Mmeru.Walihamia tu Monduli ki maisha.
vijiweni tunahabarishwa mengi. mara Ed. Lowassa na masai mara ni mmeru. wengine wanaenda mbali eti mchaga ndio maana anapigiwa debe kwa nguvu kubwa. pia wengine wanadiriki kumvusha nchi na kusema ni mkenya eti kwa sababu amewekeza sana huko. wanasema kampuni kubwa inayozalisha na kuagiza maua nchi za nje hususan uingereza ni mali yake. eti na kampuni kubwa inayotengeneza matairi na vipusa vya mpira ni yake. eti baba huyu tajiri balaa. ukweli ni upi?
 
Haijalishi ni mmasai, mchaga, mpare, mhehe, msukuma au mnyakyusa! Huyu ni Mtanzania tunayemtegegemea awe raisi wa nchi hii baada ya tar 25. Piga kura yako usikosee!!!!
vijiweni tunahabarishwa mengi. mara Ed. Lowassa na masai mara ni mmeru. wengine wanaenda mbali eti mchaga ndio maana anapigiwa debe kwa nguvu kubwa. pia wengine wanadiriki kumvusha nchi na kusema ni mkenya eti kwa sababu amewekeza sana huko. wanasema kampuni kubwa inayozalisha na kuagiza maua nchi za nje hususan uingereza ni mali yake. eti na kampuni kubwa inayotengeneza matairi na vipusa vya mpira ni yake. eti baba huyu tajiri balaa. ukweli ni upi?
 
vijiweni tunahabarishwa mengi. mara Ed. Lowassa na masai mara ni mmeru. wengine wanaenda mbali eti mchaga ndio maana anapigiwa debe kwa nguvu kubwa. pia wengine wanadiriki kumvusha nchi na kusema ni mkenya eti kwa sababu amewekeza sana huko. wanasema kampuni kubwa inayozalisha na kuagiza maua nchi za nje hususan uingereza ni mali yake. eti na kampuni kubwa inayotengeneza matairi na vipusa vya mpira ni yake. eti baba huyu tajiri balaa. ukweli ni upi?

Vipi unataka kutambika?
 
We mmama Hebu jiheshimu toka Lini wachaga wanauza wake zao.... Kuaga na akili hata mara moja moja...

Hilo mbona ni siriwazi.

Wanawake wanaua wanaume kwa mali.

Wanaume wanaacha wake zao huko uchagani miaka wao wapo kutafuta pesa, kama si kuwauza ni nini huko? Fikiri.

Wanaume wa kichagga waliopata vimsingi kidogo huwafungulia wake zao bar, vi grocery vya kuuza pombe, kama si kuwauza ni nini huko? Kwenye kuuza pombe kuna adabu? Fikiri.
 
Hilo mbona ni siriwazi.

Wanawake wanaua wanaume kwa mali.

Wanaume wanaacha wake zao huko uchagani miaka wao wapo kutafuta pesa, kama si kuwauza ni nini huko? Fikiri.

Acha kugeneralize mambo Hebu kuwa na busara dada japo mara moja moja... Heshma kitu cha bure hasa kwa wewe binti wa kiislam.. Fikiri too.
 
Back
Top Bottom