Unajisikiaje na utafanyaje au kuchukua hatua gani ?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
I hope wote ni wazima na weekend inaenda vizuri.

Nina swali la uzushi tu na pia unaweza ukadhani sio la msingi.

Unajisikiaje na utafanyaje au kuchukua hatua gani pale unapochat na mpenzi wako,mnakuta mpo kwenye serious chat na mnaongea mambo ya maana au unamwelezea hisia zako but yeye anajibu kwa jinsi we hufurahii,unaandika kwa maelezo mengi ila yeye anajibu kwa ufupi,kama vile
lol!
haya!
thanks!
good!
nice!
sijui!
we unaonaje! n.k
but mi huwa nachukulia kama anachat na mwingine,au ni kama vile mi namsumbua tu,au ni kama anakuaga vile ili mkamalize chating.
hata sms za simu we unapoteza mda wako but majibu yake yanakuwa kama hayo.
Je we kwa upande wako huwa unawajibu vipi watu kama hawa au unachat nao vipi?
 
Kiukweli uandishi au unapojibu hivi inakera sana,SIPENDI kwa maana ya KUTOKUPENDA!
 
Yaani huwa mi nikiandikiwa hivo naacha kabisa kuchat naye,namwambia tu kwaheri tutachat baadaye
Kiukweli uandishi au unapojibu hivi inakera sana,SIPENDI kwa maana ya KUTOKUPENDA!
 
hivi hisia au kuonyesha mapenzi ndo lazma uandike maelezo meengi...unaweza andika neno moja likabeba ujumbe zaidi ya maneno 300
 
unamwandikia mtu na anakuambia hajaelewa,wengine ukiandika neno moja hapendi
hivi hisia au kuonyesha mapenzi ndo lazma uandike maelezo meengi...unaweza andika neno moja likabeba ujumbe zaidi ya maneno 300
 
Yaani huwa mi nikiandikiwa hivo naacha kabisa kuchat naye,namwambia tu kwaheri tutachat baadaye

Excellent .......inategemea na muda na wakati, je kama yuko kazini? au ana kitu anafanya buzy? unategemea achat kwa kirefu? Ni vile tu anashindwa kukwambia yuko buzy pengine anatamani kuchat lakini anashindwa.

Nakumbuka mie nilikuwa (enzi hizo za uchumba yeye yuko mkoa mwingine mie niko kwingine) ana chat na mie saa za ofisi....nikichelewa kujibu hata dakika 5 anakwambia msalimie unayechat naye.......anasusa.

So nakuomba take time kujua anafanya nini muda huo, how demanding it is hicho anachofanya e.t.c kabla ya kuacha (susa) kuchat naye
 
wengine hawapo hata busy,kazini akikuambia mbona inaeleweka tu,si akuambie tu yupo busy kuliko kukujibu na vibwengo vya LOL,OMG n.k
Excellent .......inategemea na muda na wakati, je kama yuko kazini? au ana kitu anafanya buzy? unategemea achat kwa kirefu? Ni vile tu anashindwa kukwambia yuko buzy pengine anatamani kuchat lakini anashindwa.

Nakumbuka mie nilikuwa (enzi hizo za uchumba yeye yuko mkoa mwingine mie niko kwingine) ana chat na mie saa za ofisi....nikichelewa kujibu hata dakika 5 anakwambia msalimie unayechat naye.......anasusa.

So nakuomba take time kujua anafanya nini muda huo, how demanding it is hicho anachofanya e.t.c kabla ya kuacha (susa) kuchat naye
 
kwani kusoma inakuchelewesha?mbona mnanunua magazeti
By the way....
Yaani m2 anakuandikia sms ndeeeefu ka barua ya kirafiki
unless uwe umeandika ya maana otherwise nikikujibu jua nakuheshimu sana
 
kama yupo kazini,hamna neno.ila kitu kama hicho hata mimi huwa sikipendi,kwangu mimi huwa namaanisha hajakuzimia kiivyo,anakuchukulia sawa na mtu mwengine wa kawaida tu
 
kama yupo kazini sawa but kama yupo free inakera kweli,maana ni kama haenjoy kuchat na wewe

kama yupo kazini,hamna neno.ila kitu kama hicho hata mimi huwa sikipendi,kwangu mimi huwa namaanisha hajakuzimia kiivyo,anakuchukulia sawa na mtu mwengine wa kawaida tu
 
Hata mimi hili jambo huwa lina nikera sana unakuta unaongea na mtu swala muhimu anajibu ok! pale unapohitaji
maelezo anajibu short mi nilishamwambia amejirekebisha ila wengine nikimtumia nikiona anajibu short wala sijibu ya
kwake hata atume mara kumi ni dharau
 
Mkuu wahenga husema "ushikwapo shikamana", unatakiwa umwambie jinsi anavyokukera ajirekebishe, tena hayo mabunio yako ikiwezekana mwambie pia! Wapenzi wa aina hii huboa!
 
Back
Top Bottom