Unajisikiaje Mpenzi Uliyemkosea, Anajirudi Kuomba Yaishe Ili Mrudiane!??

hata kama kwa hasira akasema hanitaki tena................FULL STOP THE END OF THE STORY,
FORWARD FOREVER, BACKWARD NEVER.........GOLD CHANCE NEVER COME TWICE

nimeipenda ingawa iko kwa kizungu. wasukumawanasema koshoka shoka ukashokelaga na -----------, linalofaya nimsahau kaka kuna ngosha hum anisaidie lkn kwa kiswahili ni kurudirudi utarudia na mengine.
 
hata kama kwa hasira akasema hanitaki tena................FULL STOP THE END OF THE STORY,
FORWARD FOREVER, BACKWARD NEVER.........GOLD CHANCE NEVER COME TWICE

nimeipenda ingawa iko kwa kizungu. wasukumawanasema koshoka shoka ukashokelaga na -----------, linalofata nimsahau kaka kuna ngosha hum anisaidie lkn kwa kiswahili ni kurudirudi utarudia na mengine.
 
Ndio maana nimesema ni vyema kufanya uchunguzi na kufikiri kabla ya kufanya maamuzi.

Wapo wanao rudiana kila leo lakini cha kujiuliza kilcha wa fanya kuachana ni nini?

Hii ina tokana na kuto tulia wakati wa kufaya maamuzi.

Nimekupata Kamanda!!
Hapo Kinachomata Ni
Msimamo katika Maamuzi Ya Mapenzi,Hata Kama Inauma Vipi Kuachwa /Kuacha!

Ni Kweli Mapenzi Hayo, Yanaegemea Zaidi Hisia Za Upande Mmoja(Yaani Mmoja Kujiona Anapendwa Sana)!!
 
hakuna ambacho hakiwezekani, nilitwngana na mpz wangu wa sasa kwa 2 yrs, yaani tuligombana haswa, kisha tukaachana, mi niaenda moshi ye akaenda iringa (tulikuwa dsm that time), tumekaa 2yrs bila mawasiliano mara nini, na kwa hasira zaidi she alibadili mpaka no ya cm
Mungu si athuman ila ni Emannuel, tukaja kutana moro, na kwa ukweli tulikuja kugundua kuwa tunapendana, though nilikuwa nishakamata mke wakati huo. nikamueleza yote yaliyotokea, naye akanieleza aliyopitia, nikaona isiwe issue, nikaomba second chance, akasema hawezi kuishi without me, mambo yakawa mambo, niaoa mke wa 2, na sasa tuna mtoto, huu ni mwaka wa 4

ndo Nilitaka Huu Ushuhuda!
Nani Alikuwa Mkosaji Mpaka Penzi Likawa Tamati?
 
Aaaaaaaaaaaaah! Majigoooooooooo! Namna gani veve naleta mada ngumu kama hizi chana yote hiiiiii! Vatu iko choka na kazi za kafiri, na veve leta hizi mada za loosers. Jitu kama namkataa mwenzie, baaaaaaaaaass na ikatafute mtu ingine sio nafanya ingia na toka veve navotaka katika maisha ya venzie!!!!

Kama mimi iko jua sichana jinga jinga ishaambiwa haitakiwi, halafu siku ingine ile jinga anaume narudi na kusema iko penda yeye tena, na venyewe iko samehe!!!!!!!!!!??????????? Mimi ikijua veve IKO CHAPA VEVE BAO TUUUU! Nageuzwa kijiwe cha nyumbani na veve iko ona sawa!!!!!!!!!!!!

Jitu hataki veve, baaaaaaaass veve tafuta anaume ingine!!!!!!!!! Ziko nyingii tu, kama nataka ya kihindi njoo upanga tapata kijana Rajesh nauza duka ya babake pale nazi moja!

mesema kweli veve...kama n''je n''je kama dani dani banaaa....sio n''je dani n''je dani NAUMIZANA BANAAA
 
mhm...hapo uamuzi wangu utategemea sana my status at the tym. je nipo single au ndio nilishakamatia mwengine.

kama nipo single au mwana mie najirudisha. bora nirudi kwake kuliko kuona jamaa mwengine anakatia. itaniuma sana.

ila kama tayari nilisha kamatia itabidi tuu nimueleze ukweli kuwa now its impossible us getting back unless she just wana kumbushia raha ya utamu.
 
unless nimezeeka sana na sijui kinachoendela ila to me sioni shida kabisa kwa wapenzi hawa kurudiana hata kaidogo,

kuna jambo hili hapa maisha yana njia nyingi sana na zote huweza toa option mbili tu yaani i -win ama i-fail, kwangu mm key qns ambazo ningejiuliza ni hizi

je sababu aliyoniacha nayo b4 ilikuwa genuine?
je do i have feelings towards him/her?
je tayari nilikuwa niliharibu zaid baada ya kutengana?
je nafikiri nimerekebika kitabia kias kwamba sito muumiza tena?
je naweza kurudsha trust kwake tena?

mie tatizo naliona aid kwa yule anayetaka kushahpe upya penzi ili kwani maswali yake ni magumu zaid mf:-
je atanipenda tena ama ataisha na mie kwa hofu?
je niko tayari kuyavumilia yale magumu alonayo?
je sito yakumbuka yalopita ili kuzuia kuyachukia maisha yanguaa ya baadae?
je ninampenda kwa dhati ama ni msukumo tu wa kingono ama shoow off?
je ni ipi sababu hasa ya ukweli inayaolia ndani ya nafsi yanu hadi nitamn kurudiana nae?

so majibu ya maswali haya yanaweza kukupa mwanga kama urudi ama la.
 
Aaaaaaaaaaaaah! Majigoooooooooo! Namna gani veve naleta mada ngumu kama hizi chana yote hiiiiii! Vatu iko choka na kazi za kafiri, na veve leta hizi mada za loosers. Jitu kama namkataa mwenzie, baaaaaaaaaass na ikatafute mtu ingine sio nafanya ingia na toka veve navotaka katika maisha ya venzie!!!!

Kama mimi iko jua sichana jinga jinga ishaambiwa haitakiwi, halafu siku ingine ile jinga anaume narudi na kusema iko penda yeye tena, na venyewe iko samehe!!!!!!!!!!??????????? Mimi ikijua veve IKO CHAPA VEVE BAO TUUUU! Nageuzwa kijiwe cha nyumbani na veve iko ona sawa!!!!!!!!!!!!

Jitu hataki veve, baaaaaaaass veve tafuta anaume ingine!!!!!!!!! Ziko nyingii tu, kama nataka ya kihindi njoo upanga tapata kijana Rajesh nauza duka ya babake pale nazi moja!

As usually...tight reply!
 
ni ngumu ila hebu tuwe na misimamo kwan wapenz weng tunasumbuana alaf tunakimbilia misamaha wengine wanajifanya kutoa mistar ya vitab vitakatif kwenye kuomba msamaha wakat anasalit au anaamua kuachana nawe hakutumia hivyo vitab.jikaze tupa kule wapo wanaojua dhaman ya mapenz na kuyaenz utapata.
 
Hakuna aliyekuwa mkamilifu miongoni mwa wanadamu. Wengine wanasema baadhi ya makosa hawawezi kabisa kusamehe lakini makosa hayo hayo wapo wengine ambao hawaoni tatizo kuyasamehe na kujaribu tena katika duru la mapenzi. Ni haki ya yule aliyekosewa kuamua kama amsamehe mwenzie ili waendelee na penzi lao au la. Kwa maoni yangu hakuna ubaya wowote kusameheana hasa kama bado mnapendana na watu mnataka kujaribu tena kulirutubisha penzi lenu.

Yawezekana Ni Girl/Boy Wako Uliyewahi Kumuudhi Kwa Kufanya Yale Hasiyoyapenda...Eidha Ulikunywa Pombe Au Kivingine.

Alipogundua Hayo,Kwa Hasira Anakuambia "Hakupendi Na Amekusamehe Ila Bora Muachane(Bila Kukutusi)"
Ooh My God!!!
Kama Utani Unaamua Kukubali Kuachana Lakini Mkawa Bado Mnaendelea Kujuliana Hari Ya Kimaisha(Simu)
Maisha Yanaendelea,Baada Ya Miezi 5...Mpenzi Huyo Anakutumia Ujumbe Kuwa,
"Anaomba Mrudiane Kwani Zile Zilikuwa Hasira Tu,Lakini Yeye Bado Anakupenda Na Ameielewa Thamani Yako Kwake"

1:Je,Kama Ni Wewe Utajisikiaje?
2:Mkirudiana!!...Hauta Ringa Na Kujiona We Ndo Makitu Yote Kwake?
3:Kwa Ujumla Unalizungumziaje Penzi La Namna Hii?

Tafadhari!!!...Changia Unachokielewa Kwani Ni Mambo Ambayo Yanaigusa Jamii Moja Kwa Moja....Hoja Zote Zitakubaliwa, Ila Pasiwe Na Madharau Kati Yetu Wajameni!!
Haya Tumwagike!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana tuna shauriwa sana kufikiri kabla ya kutenda! Kama alifanya kosa na ukaona hakufai imekuaje leo imekuaje ana faa!

Ni vyema kuwa na msimamo kwa kile unacho kiamua!

Haya mambo ya ingia toka ndio yana hatarisha afya zetu. Ina bidi kujiuliza muda wakati umeachana nae alibaki single?.

unaogopa kurudi ulipotoka ila pia tujiulize huko utakapoenda utamkuta yupo single!!!!
 
hakuna ambacho hakiwezekani, nilitwngana na mpz wangu wa sasa kwa 2 yrs, yaani tuligombana haswa, kisha tukaachana, mi niaenda moshi ye akaenda iringa (tulikuwa dsm that time), tumekaa 2yrs bila mawasiliano mara nini, na kwa hasira zaidi she alibadili mpaka no ya cm
Mungu si athuman ila ni Emannuel, tukaja kutana moro, na kwa ukweli tulikuja kugundua kuwa tunapendana, though nilikuwa nishakamata mke wakati huo. nikamueleza yote yaliyotokea, naye akanieleza aliyopitia, nikaona isiwe issue, nikaomba second chance, akasema hawezi kuishi without me, mambo yakawa mambo, niaoa mke wa 2, na sasa tuna mtoto, huu ni mwaka wa 4

duh! Mie nina ndugu yangu nae aliachana na gf wake,huyo binti alileta mbwembwe sana wakat ndugu yangu alikuwa ndio msaada mkubwa kwake wakat yupo chuo. Huwezi amini (sisi pia hatukuamini), yule binti amerudi kwa ndugu yangu anaomba msamaha ana mimba ya miezi miezi miwili............ Amepokelewa na ataolewa maana ndugu yangu amesema yeye anaangalia maisha na yaliyopita yamepita. Mpooooo?
 
Back
Top Bottom