Unajisikiaje Mpenzi Uliyemkosea, Anajirudi Kuomba Yaishe Ili Mrudiane!??

hata kama kwa hasira akasema hanitaki tena................FULL STOP THE END OF THE STORY,
FORWARD FOREVER, BACKWARD NEVER.........GOLD CHANCE NEVER COME TWICE

Lakini Mda Wote Bado Alikuwa Anawasiliana Nawe Kwa Kukujua Hari!
Vp Huwezi Ukamuwazia Kwa Hilo?
 
Usitoe bunduki kwenye "holster" kama huna mpango wa kupiga risasi........i.e Sirudii matapishi.....a.k.a its a done deal hamna kurudi nyuma/hamna msamaha tena miezi mitano? NO WAY
 
hua siamini katika kuachana na kurudiana.......
kama nimestruggle kukudelete kwa moyo, kwa nini nikupokee tena? Ili nije kustruggle tena baadae? Aiiiii

Aah!
Mnashamburia Eeeh?
Ila Pointi Za Kushindwa Kurudisha Penzi, Zina Nguvu Aiseeh!
Dah!BADILI TABIA Umenikausha Maukwaju Yangu Yooote!
 
Ndio maana tuna shauriwa sana kufikiri kabla ya kutenda! Kama alifanya kosa na ukaona hakufai imekuaje leo imekuaje ana faa!

Ni vyema kuwa na msimamo kwa kile unacho kiamua!

Haya mambo ya ingia toka ndio yana hatarisha afya zetu. Ina bidi kujiuliza muda wakati umeachana nae alibaki single?.
 
Got rules once you mess up and leave that's for good eti oooh tuachane uje baadae huh nani akusubiri wewe hata kama virgin sitaki

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Usitoe bunduki kwenye "holster" kama huna mpango wa kupiga risasi........i.e Sirudii matapishi.....a.k.a its a done deal hamna kurudi nyuma/hamna msamaha tena miezi mitano? NO WAY

Dah!Kweli Hapa,Mnaotegemea Kurudisha Penzi, IMEKULA KWENU...Si Mnaona Makavu Haya!
Ngoja Nijipange Mazima Aisee!!
 
ndiyo Kawa Alone Akikutafakari Wewe Tu,Na Sasa Anahitaji Kukumbusha Zamani!

hakuna cha mambo kama hayo bana
kawa alone hasira zinapungua baada ya siku chache
Miezi yote hiyo anatafakari ndo aje kunikumbuka now
hakuna kitu kama hicho
 
hakuna cha mambo kama hayo bana
kawa alone hasira zinapungua baada ya siku chache
Miezi yote hiyo anatafakari ndo aje kunikumbuka now
hakuna kitu kama hicho

Si Unajua Kule Kujiuliza,Sijui Atanipokeaje?
Ndo Kajikuta Umemuona Mchelewaji Mwana Wa Mwenzio!!
 
Wataka kulamba matapishi,kwani weye paka?shosti lara 1 nimeshindwa soma kihindi weka kwa kiswaz bac.
 
Last edited by a moderator:
Si Unajua Kule Kujiuliza,Sijui Atanipokeaje?
Ndo Kajikuta Umemuona Mchelewaji Mwana Wa Mwenzio!!

Usidanganywe na machozi ya mambo hayo
Kuwa na msimamo wala usije ukaonekana ulikuw aumependa mpaka umekufa bila kujijua aise
yaani bila yeye wewe huna uhai hilo ondoa kabisa
 
Usidanganywe na machozi ya mambo hayo
Kuwa na msimamo wala usije ukaonekana ulikuw aumependa mpaka umekufa bila kujijua aise
yaani bila yeye wewe huna uhai hilo ondoa kabisa

kweli Mkuu!!
Itabidi Kujipanga Aiseeh... Mawazo Ya Busara Haya!
 
Ndio maana nimesema ni vyema kufanya uchunguzi na kufikiri kabla ya kufanya maamuzi.

Wapo wanao rudiana kila leo lakini cha kujiuliza kilcha wa fanya kuachana ni nini?

Hii ina tokana na kuto tulia wakati wa kufaya maamuzi.

ayah!
"RUTTA" Naheshimu Hoja Yako.!
..Ina Maana Hakuna Kurudiana Ktk Mapenzi...Mbona Huwa Nasikia Wapenzi Tele Wanarudisha Majeshi??
 
hakuna ambacho hakiwezekani, nilitwngana na mpz wangu wa sasa kwa 2 yrs, yaani tuligombana haswa, kisha tukaachana, mi niaenda moshi ye akaenda iringa (tulikuwa dsm that time), tumekaa 2yrs bila mawasiliano mara nini, na kwa hasira zaidi she alibadili mpaka no ya cm
Mungu si athuman ila ni Emannuel, tukaja kutana moro, na kwa ukweli tulikuja kugundua kuwa tunapendana, though nilikuwa nishakamata mke wakati huo. nikamueleza yote yaliyotokea, naye akanieleza aliyopitia, nikaona isiwe issue, nikaomba second chance, akasema hawezi kuishi without me, mambo yakawa mambo, niaoa mke wa 2, na sasa tuna mtoto, huu ni mwaka wa 4
 
Ndio maana nimesema ni vyema kufanya uchunguzi na kufikiri kabla ya kufanya maamuzi.

Wapo wanao rudiana kila leo lakini cha kujiuliza kilcha wa fanya kuachana ni nini?

Hii ina tokana na kuto tulia wakati wa kufaya maamuzi.

Mwanasheria wa JF Ruttashobolwa umenena vyema sana
Kuna maamuzi mengine unaweza fanya na ukaja jutia ni ya nini ulichukua na unaweza chukua maamuzi kama hayo bila kutumia busara
Bora kujipanga ili uweze kufanya kile ambacho ni cha faida na hutajutia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom