Unajimu mwaka 2012

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
536
86
Wale wenye anyota za kuku huu ndo mwaka wao wa bahati kwani itakuwa rahisi kwao kuishi bila presha kwani watakuwa wepesi kusahau vituko vya serekali mwaka huu.
Wenye nyota za panya wawe makini,kwani njia zao zote za vificho zitafunuka mwaka huu.
Wenye nyota za sungura aitakuwa si tofauti sana na panya ila ujanja wao pekee uliobaki ni kuvaa nguo za magunia kuonesha wanajutia ujanja wao wa mwaka jana la sivyo waame nchi,kama inashindikana waokoke.
Wenye nyota za risasi,mikuki na chui mwaka huu wataoa na kuolewa sana,au watapata wapenzi wengi sana cha muhimu wawe makini sana kwani tabia ya kujamihiana ovyo ovyo (chomachoma,toboatoboa au kurarua rarua) wawe makini wataukwaa sana ukimwi.
Wenye nyota za chura huu ndo mwaka wa kurukaruka kamwe usioe au kuolewa mwaka huu kwani utapata wapenzi wengi wa risasi,mkuki na chui.Taadhali inabidi muweke oda ya kondom kiwandani kwa mwaka huu.
Hayo machache tu,kama unataka kufahamu kuhusu nyota yako uliza .
 
Nyota yangu bundi! Haya niambie mnajimu wetu,vipi shingo itazunguka kama kawa or!?
 
Duh!mimi mambo haya huwa siyaamini hata kidogo!.Mwenye hoja anishawishi!
 
Nyota yangu bundi! Haya niambie mnajimu wetu,vipi shingo itazunguka kama kawa or!?
tena mwaka huu inabidi utafute kazi ya ulinzi,au kazini kwako ubadili shift ziwe za usiku,kama biashara fungua gesti.Kama inashindikana basi itabidi utafute jiwe la tanzanite na ulivae shingoni na ktk shughuli zote za mchana.
 
asante!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom