Unajiamini, unaweza.!! try me..

sitaki kuamini humu ndani wamejaa wanaume surual.!! ata kusema nakupenda mnashindwa, nkiweka picha yangu c ndo mtaogopa ata kunsalimia kwa jinsi nlivyojariwa.!!! giza limeingia kesho ntaweka pcha yangu afu tuone mtajitetea nin but pongezi kwa elli kidogo amesema kitu japo ni pointless
 
hey gal cjui umewaza ninachokiwaza and then uka r8 down i issue....! Ts seems lke our ambition are the same and never be antagonistic give me a chance youll never regret b'ce if god z th 1 who dcde 4us to be 2gether nobody can make us aparttttt! valencevictor@ymail.com
 
Nimeshindwa kabla ya kuanza. Siwezi kukurupukia mtu asiyejulikana,lol!
 
Nikisikia Miss Bantu roho yangu ina miss.

mie mwanamke mwenzio mamito, nakupeleka places ambazo wanawake twapenda.

nahakikisha u bantu wako unaonekana na kutangazwa, na hakikisha unatembelea gari

la kifahari hata kama la kuazima. nitakutafutia fundi wako spesho atakua

anakudizainia mavazi ya kibantu ya kuenda na umbile lako la kibantu.

Ukitaka mwanaume wa ukweli nakupa kirusha roho changu naona kimepost humu na hakina mistari.

Kukuhakikishia mie sio mtu wa porojo wa vitendo nimekupa na Like yako ya kwanza. tegemea za kumwaga.
 
Wala sikutaki coz unajisifia,but umenivutia kwa sababu wewe ni mwanamke!Nahitaji mwanamke why don't u try me?
 
nilikuwa nasubii mistari niweke kwenye single yangu inakaribia kutoka mpaka sasa sijaona bingwa wa kuflow
wapi NGULI muzee ya mistari pls come ..hili chaka lako
 
Last edited by a moderator:
Nikisikia Miss Bantu roho yangu ina miss.

mie mwanamke mwenzio mamito, nakupeleka places ambazo wanawake twapenda.

nahakikisha u bantu wako unaonekana na kutangazwa, na hakikisha unatembelea gari

la kifahari hata kama la kuazima. nitakutafutia fundi wako spesho atakua

anakudizainia mavazi ya kibantu ya kuenda na umbile lako la kibantu.

Ukitaka mwanaume wa ukweli nakupa kirusha roho changu naona kimepost humu na hakina mistari.

mhh unameneno matam sana ila ndo hivyo we mwanamke mwenzangu.. Hicho kirusha roho chako ka kimeshindwa ata kuniaproch sa kwenye mambo mengne c ndo kitakua kinanililia kabisa, ctaki ugonjwa wa moyo mie...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom