Unaikumbuka hii picha?

Dah! hii picha inanikumbusha mbali sana enzi zile niko primary eti sizitaki mbichi hizi.
 
aaaaa! Mwl wa kiswahili Josephina kmbka sana yeye,kama hujakalili ht ubeti 1 lzm ukumbatie desk stick zake ss!! Madesk ynywe ylikuw ma4 tu dents60!
 
Karuka tena karuka lakini hakufikia
matunda hakuyashika mkononi hakutia
hakika alisumbuka nguvuze zikapungua
nguvvuze zikapungua sungura nakwambia

sizitaki mbichi hizi sungura akagumia
naona nafanya kazi bila faida kujua
yakamtoka machozi matunda akalilia
matunda akalilia shungura nakwambia.....

loh ndugu umenikumbusha mbaaaaali sana, natamani nikipate hiki kitabu nikisome vizuri maana mashairi haya yalikuwa na maana nzito sana kwa watoto wa umri ule kuyaelewa. nilipokuwa secondary ndio nilikuwa natumia msemo wa sizitaki mbichi hizi kwa wale wavulana ambao anakusotea weee ukimtolea nje ndio anaanza kukusagia ooh demu gani yuko hivi yuko vile.... kama sungura!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom