Unaijua?? The Route of All Evil...

Boflo, jina hili umechagua mwenyewe?

Mimi nawashangaa sana Wana Jf kulihusisha jina langu na maana wanayoitaka wao!!

Hivi hivi mkate wa Boflo una mahusiano gani na maana ambayo wana Jf wanaitaka????
 
Macho kama bundi? Is this supposed to be a compliment?

Ha..ha..ha..I miss u my flatmate yaani uko buzy sana.Hizi shift zako za usiku zinafanya tusionane kabisa wakati mimi narudi kazini nakuta wewe umeshaondoka.
 
Back
Top Bottom