Kwa hiyo mkwanja pia ni route au ndio usafiri wenyewe?Mpaka uifikie hiyo route, lazima uwe na mkwanja.
Umeipenda hii picha?
Macho kama bundi? Is this supposed to be a compliment?Mwali...hata yako nimeipenda
macho mazuri kama bundi
Try again, that is hard to picture...Haaaa, Mwali...
Macho ya bundi mazuri, yanameremeta..
yana mvuto
unavoidable.