Unaijua nchi yako kweli? niambie haya maeneo yako wapi

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
Museum2.jpg
 
Hapo kati nilipoona zile matatu nkafikiri ni dar but usafi huu na hayo magari ya hao wafanyafujo, itakuwa ni A town kwa watalii!
 
nyuma ya Ocean road hospital kama waelekea state hse kwa gate inayoface baharini
 
Mbona rahisi... 1.Makumbusho ya Taifa near IFM, 2.Bibi Titi Rd.near CBE,3.RAHA TOWERS.Maktaba n Bibi Titi Junction...
 
Back
Top Bottom