Unahitaji kuanzisha radio? Unahitaji kuboresha radio yako?

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Wadau,
Radio Consult Limited tunatoa huduma safi sana kama ifuatavyo:-

1. Unahitaji kuanzisha radio na hujui cha kufanya?
2. Radio yako haitoi faida na inakaribia kufa?
3. Radio yako haina wasikilizaji?
4. Radio yako haina wasikilizaji na vipindi vyako havina mvuto?
5. Unahitaji vifaa vya radio na ufundi mitambo?
6. Unahitaji mafunzo ya uandaaji wa vipindi vya radio?

Karibu tukuhudumie: Unaweza kutupata kwenye website yetu: Radio Consult Company Limited au
tuandikie email: consultancy@radiotz.com
 
Radio Producer mimi nipo tayari nahitaji kuanzisha radio ili kukabiliana na uchaguzi wa mwaka 2015 maana nataka kugombea ubunge jimbo fulani je, utaweza kuniasaidia hili? Niko safi anytime. Au ngoja nikuandikia email.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom