Unahitaji gari? Nauza gari la maana ni la kwangu mimi sio dalali bei ml.2

GOD THE BOSS

Senior Member
Aug 4, 2015
145
39
Nauza Mack ii 1g 6 nimeweka engine nyingine mwaka jana haina tatizo la aina yoyote kila kitu kinafanya kazi.

Nimeshindwa jinsi ya kuweka picha zake humu JF waweza kunitumia namba yako nikutumie picha zake kwenye whatsapp.

Napatikana Dar no.0655 164040.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom