Unahisi mgao wa mafuta ni suluhisho la folen dar es salaam!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Yaani nilihisi naongozwa na kingora leo jamani loh tangu naaga nyumbani
kufika kazini ni dk 8 kama nimetoka upanga to posta hata kidogo embu tuliangalie hili swala la mgao wa mafuta mnaonaje mnahisi ni soln ya folen dar es salaam..na je ni kwamba barabara kuwa wazi gari kutembea bila kukaa foolen jana na leo
mnahisi inaweza kutusaidia wale wabinfsi wasiopenda kupeana liift sasa wakaona umuhimu wa kutumia gari moja

mi ninachoomba as long nchi imeuzwa hawa watu wa engen wateu baadhi ya vituo tuwe tunapata mgao kuliko kutokuwa na mafuta kabisa na hili swala la aipo diesel tu life kama vipi wafunge kabisa tukjue akuna mafuta najiuliza kamaa watu wamekaa miezi kadhaa bila umeme na wamekaa kimya kwa nini tusizoee huu mgao wa mafuta kilichofanyika ni kuwtupindua tu upande wa pili baada ya kutuona watanzania tumekaa kimya na tunapoelekea wataenda voda tigo airtel kutumaliza na internet kabisa turudi kwenye mafaili

mungu ibariki tanzania
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom