Unafki ni...................?

1.Unajifanya unasuluhisha watu wanapigana kumbe kimoyo moyo unataka wadundane ila unasuluhisha tu ili uonekane unajali

2.Kujifanya unasuluhisha wapenzi waliogombana kumbe kimoyo moyo unataka waachane ili ufaidi.

3...................

4...............

5................

endelea

Aisey ! Unanimwagiaje mavitu yaliojaa busara! Wewe sio chapombe bwanaa!
ID yako ndiyo issue !
Haiyendani na yanayokutoka mdomoni !
Au labda unakunywaga za kichina? Maanake zitakua sio madhubuti kwa maana ya kutolewesha sana kama zingine.
 
Unachakachua thread!
 
unasema nina busara baadaye utasema mi mlevi
 
unapotezea kutoa mchango ili mgonjwa apatiwe matibabu,halafu akifa wewe wakwanza kutoa rambirambi!!!
 
Unatoa mimba halafu unakumbatia toys,unafki mkubwa
 
Kujifanya unamsaidia mtu, huku pembeni unamtangaza na kumsimanga kwa hali yake duni!!

Kipipi mambo?
Hivi unajua Popo au Bundi aonekanapo mchana watu hujiuliza kulikoni leo!
Usiniulize naamanisha nini ! Najua wajua
 
ndugu yako anapokua mgonjwa hata chungwa hukumpelekea hosp lakini akifa wewe ndo mstari wa mbele kutoa magari yako yasaidie msibani,unamnunulia jeneza na suti ya gharama ya kuzikwa nayo na kitu chochote kikihitajika msibani unatoa hela fasta kikanunuliwe.
 
hehehehe huo kweli unafki halafu siku ya mazishi unazimia
 
kuwa mstari wa mbele katika nyumba za ibada na pahala pengine kupinga uasherati na uzinzi wakati wamiliki gesti bubu
 
Unamchekea uson af akikupa kisogo unaanza kumponda.
Unamkaribsha chakula af akila unanuna.
Kweli ubnadamu kaz!
 
kuwa mstari wa mbele katika nyumba za ibada na pahala pengine kupinga uasherati na uzinzi wakati wamiliki gesti bubu

wengne ni masheikh na wachungaj wanamilik bar na pombe kali zinauzwa. Kweli kwenda mbingun kaz.
 
Unafiki ni kujifanya unachukia jukwaa la wakubwa kumbe una ID nyengine unaingilia kwa wakubwa kinyemela.

Nimtaje?
 
Back
Top Bottom