unafikiria nin sasaivi???????

waaachaa wee.!! Kaka angu Judgement anafaidi..
Kizibo cha speedo chaivuta pen kwa ndani eetii.!!

Kama kawaida peni lazima iwe inanata ivi wkt wa kutoka oooho data shaurilo muache kakaako afaudu maana wasemaga wakubwa wanafaudu hihiiii muache sasa jg awe hapa
 
Last edited by a moderator:
sina ninachokiwaza zaidi ya mpenzi wangu nimepiga simu zaidi ya mara 5 hapokei ya nina hasira balaa.!!
 
sina ninachokiwaza zaidi ya mpenzi wangu nimepiga simu zaidi ya mara 5 hapokei ya nina hasira balaa.!!

Poule idawa cul down usifanye chochote tena kumtext wala kupiga tena muache kwanza kama anaakili timamu atakutafuta kama hamnazo yupo kwakukuchuna ndo utajitia jambajamba hapo
 
Kama kawaida peni lazima iwe inanata ivi wkt wa kutoka oooho data shaurilo muache kakaako afaudu maana wasemaga wakubwa wanafaudu hihiiii muache sasa jg awe hapa

And then it's my destine ! End of the path !
No exite fowrd !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom