unafikiria nin sasaivi???????

Heh, labda Bishanga awe mke wangu
Mwanamme gani hawezi hata vinja biskut??
Mi nafikiria kama binti yangu alivyoaga asubuhi anaenda shule ni kweli kaenda au ndo kama vile tena...

attachment.php
 
Vibinti vya siku hizi vinaaga vinaenda shule halafu vikirudi home vinaongelea mambo ya namnani.

Mie huwa nawaza, hivi limeanzishwa somo la 'namnani'???

Mi nafikiria kama binti yangu alivyoaga asubuhi anaenda shule ni kweli kaenda au ndo kama vile tena...

attachment.php
 
habari zenu wana jf nimewamis kwanza sikua vizuri sikuchache zilizopita ila mi nahitaji kufahamu kwa muda huu unawaza nin kwa kichwa chako?



Beibe nasty mke wa judgement asanteen saana


style ambayo Judgement uwa anaitumia anapokula kitumbua na wewe unavyokamatia muhogo..
Kitu cha PUNDA au?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom