Unafiki wa wanaJF inamaana hamumfeel mchizi kama anavyowafeel?

dah! halaf wewe ndio watchguard wa JF, hebu elezea kwa mistari isiozidi miwili kwanini shossi ameamua kudissapear wizauti kongrit reason

ze interesti waz to geti zat preti gal nilhamu sasa az long az nilhamu was konsan in zat stelling issue akadisapia sasa shossi ze hamu of jeieefu iz no longa zea....nawakilisha
 
Huyu inabidi aisaidie rijeshi ra porisi.

Ha Ha haaaa... I like you Dudes... napenda kuwaita The Funny Trios au The Three Amigos.. Yaani Akiwepo Hashy, Uporoto na Kloro... Lazima ucheke..

Hapa wakuu mgekuwa mnakusanya haya maandiko na kuweka kwenye kitabu mnaweza kutengeneza Comedy...:clap2:
 
ze interesti waz to geti zat preti gal nilhamu sasa az long az nilhamu was konsan in zat stelling issue akadisapia sasa shossi ze hamu of jeieefu iz no longa zea....nawakilisha

Hivi kweli...Nilham naye kadisapia lini??? sijamwona yule mrembo wa kiarabu....au baada ya watu kujua ile picha sio yake... kama yeye alivyosema???
 
avatar35350_2.gif

wat elsi keni yu aski...
 
Watu mnakuwa hamna vitu vya kujadili...tuangalie mambo ya maana na sio kukaa kujadili mtu ambaye ameingia humu ndani juzi tu.......kama ameondoka aondoke atuache sisi wa mda mrefu wanaondoka sisi wanatuacha......
 
Kamanda unataka kuharibu bana Lizzy hahusiki kabisaa yuko kwangu toka Valentine na hajakanyaga hata nje.
kamanda tumeanza kukutilia wasi wasi na wewe sasa. hii chain kumbe ni kubwa acha niwasiliane na kamanda mwema.
 
Ha Ha haaaa... I like you Dudes... napenda kuwaita The Funny Trios au The Three Amigos.. Yaani Akiwepo Hashy, Uporoto na Kloro... Lazima ucheke..

Hapa wakuu mgekuwa mnakusanya haya maandiko na kuweka kwenye kitabu mnaweza kutengeneza Comedy...:clap2:

VoR, ..ni kweli hawa watu wamejaliwa! Nilisema siku moja.....wanaweza tu wakaanzisha zekomedi... na wateja tuko wengi tuu...:clap2::clap2::clap2:
 
Watu mnakuwa hamna vitu vya kujadili...tuangalie mambo ya maana na sio kukaa kujadili mtu ambaye ameingia humu ndani juzi tu.......kama ameondoka aondoke atuache sisi wa mda mrefu wanaondoka sisi wanatuacha......
punguza hasira mkuu, utapata kisukari halaf sindano za adrenalin zenyewe soko lake limepungua bongo
 
Watu mnakuwa hamna vitu vya kujadili...tuangalie mambo ya maana na sio kukaa kujadili mtu ambaye ameingia humu ndani juzi tu.......kama ameondoka aondoke atuache sisi wa mda mrefu wanaondoka sisi wanatuacha......

vipi kava moja la bomu limeangukia uwani kwako?
 
Back
Top Bottom