Unafiki wa wanaJF inamaana hamumfeel mchizi kama anavyowafeel?

Waooo!!! sikujua jina langu linakufurahisha hivyo.....usijali kabisa Kloro..mimi nipo, ndo nina mwezi humu...so bado nataka nijifunzemengi humu JF! Lakini na wewe umepotea..sijakuona kwa muda hivi???
mimi mwenyewe nakuwa nashindwa kuelewa connection ya furaha na jina lakini beleive me its true hata michelle anaelewa.

kweli nilipotea na nitaendelea kupotea,yaani kuna mdada anaitwa Preta anapenda kunikipu bize ili nisipate muda wa kuingia JF na kureply Post za warembo wengine. lakini inabidi turizie tu ili kudumisha valentine yetu
 
Haina neno Kloro... ni muhimu kudumisha huko uliko ni kwa muhimu zaidi na endelea kubarikiwa na jina langu, inawezekana inatokana na origin ya jina na maana yake pia! Just google it. Bless you.
 
Kuongelea topic naona Mashairi yamekuwa mengi siku hizi hapa MMU napendekeza yapelekwe jukwaa la lugha.
 
Duh kwa lugha tamu tu... unajua kumfanya mtu ajifeel special... Kwa mtaji huu siondoki JF na wakinipiga BAN nakuja kivingine.. Taku-PM ID yangu ili ujue ni mimi..

Hili ni kosa kuthibitisha kimaandishi dhamira ya kuwa na ID zaidi ya moja MR. Youtube futa kauli hii lol!
 
Back
Top Bottom