Unafiki wa Wabunge wa CCM kujulikana leo

MALUNGU

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
250
97
Leo ndiyo tutajua kama ilikuwa ni hadaa kwa wananchi ama vipi maana ataitwa mbunge kwa jina lake na kusema kama aniunga mkono bajeti au anaipinga. Nani kati yao atajitoa mhanga?
 
wabunge wa ccm lazima waipitishe maana wakikataa bunge likavunjwa basi imekula kwao.
 
Tangu lini ccm imesimama upande wa wananchi? Naungana na dr.ulimboka kwamba serikali hii bila kashkash haiwezi kusikia
 
wala hii thread haikupaswa kuletwa hapa kuna mtu anategemea kwa wabunge hawahawa wa ccm hii hii na vichwa vilaza hivihivi chini ya m/kiti mr Dhaifu huyuhuyu unatarajia budget isipite??
 
ni vyema ukawaorodhesha wote watakaosema YES ili tutembee na hayo majina mifukoni.
 
Tangu lini ccm imesimama upande wa wananchi? Naungana na dr.ulimboka kwamba serikali hii bila kashkash haiwezi kusikia

Sad thing is ni wananchi hao hao ndio waliowachagua kuwawakilisha Bungeni. Majority of Tanzanians, especially in rural areas bado wako usingizini. Voting against their own interest.
 
Filikunjombe, Mpina na Esther Bulaya (imani kwa waziri na sio serikali dhaifu) wamejipambanua toka CCM. Kafulila, Shibuda na Hamad Rashid wamethibitisha kuwa ni vuguvugu
 
Filikunjombe, Mpina na Esther Bulaya (imani kwa waziri na sio serikali dhaifu) wamejipambanua toka CCM. Kafulila, Shibuda na Hamad Rashid wamethibitisha kuwa ni vuguvugu
Hawa ni wabaya kuliko hata waliokubali moja kwa moja. Inauma sana waheshimiwa hawa kuingia mtini.
 
CCm itaendelea kututesa sana hii nchi kama hatua maalumu za kuwaelimishwa wananchi hasa vijijini hazitachukuliwa...
inasikitisha kuwa sisiem wanapata kiburi wapi cha kufanya mambo bila kuogopa mzigo wanaowatwika wananchi???
 
Back
Top Bottom