Unafiki wa TBC kwa jitihada za CHADEMA katika ujenzi wa Tanzania

Sii mda mrefu uvumirivu utafika kikomo chake. Tutaanzisha maandamano ili waturudishie tv yetu ya umma. badala ya kudumisha amani, wao ndio wanakuwa kifua mbele kuvuruga amani kwa kubadilisha tv ya umma kuwa tv ya cc-magamba. the time will tell.
 
wameagizwa na wakuu wao kuhakikisha coverage ya chadema inaminywa, jiulizeni mshana analipi jipya kapelekwa pale kwa kazi hiyo, chadema kuanzisha tv na redio ni jambo la msingi na la haraka. tunakosa mambo mengi ya msingi
 
Taratibu tu tutafika hata km tutakuwa tumechoka sana na vurugu za ccm na mafisadi wake.....naamini mungu yuko upande wetu
 
Anza wewe kwanza badala ya kuulizia wenzako
Hatuna haja ya kujilipua sisi tuendelee kuelimisha wananchi juu ya haki zao za kupata habari na kwambo chombo chenye wajibu wa kuwahabarisha ni tbc ambacho kinaendeshwa kwa kodi zao na watakapoelimika wataanza kuona tofauti kati ya tbc ambayo ndicho chombo chao na vyombo vingine hapo wataanza kuitafuta haki yao!! hata kwa mabavu!!
 
Tuwaelimisheni watanzania. I like thi idea. Information is power.:grouphug:
 
Back
Top Bottom