Unafiki wa pongezi za CCM kwa ushindi wa Chadema Arumeru

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
Pongezi za CCM kwa ushindi wa Nassari ni unafiki wa kuficha uharamia ambao CCM wamewafanyia wabunge na wafuasi wa Chadema huko Mwanza. Kama pongezi hizo zingekuwa za dhati wangetoa pole na kujutia kitendo cha CCM kuwacharanga mapanga na mashoka wabunge wa Chadema kana kwamba wanachinja nyama. Chama hili cha CCM sasa kimegeuka kuwa chama cha umafia na ufisadi sawia.
 
ccm watalaaniwa sana,

Watu wazima wenye akili timamu wanakimbilia kutoa pongezi badala ya kutoa pole kwa wabunge kutaka kuuliwa tuwaeleweje? Ina maana Nnauye, Mwingulu Nchemba na wakada wengine wa CCM hawafahamu kukusu uharamia wao wa Mwanza? Ningewaona wa maana kama wangetangulia kutoa pole kwa wabunge walioumizwa Mwanza kabla ya pongezi za Ubunge Arumeru
 
I hate them for destroying our fellow tanzanians.
CCM wabaya sana, wanashindwa uchaguzi Arumeru wanataka kuua wabunge wawili wa Chadema ili walazimishe uchaguzi mdogo na wabake demokrasia. Wako wapi hao wanaCCM wanaotoa pongezi? hatuwaoni wakitoa pole, wanafiki wakubwa.
 
Watu wazima wenye akili timamu wanakimbilia kutoa pongezi badala ya kutoa pole kwa wabunge kutaka kuuliwa tuwaeleweje? Ina maana Nnauye, Mwingulu Nchemba na wakada wengine wa CCM hawafahamu kukusu uharamia wao wa Mwanza? Ningewaona wa maana kama wangetangulia kutoa pole kwa wabunge walioumizwa Mwanza kabla ya pongezi za Ubunge Arumeru
Sure nawashangaa kutoa pongezi wakati ni jana tu wamehusika kuwamwagia tindikali vijana wa CDM. Hizi pongezi ni za kinafiki.
 
CCM hawana tofauti na mateja wale majizi wanaocharanga watu mapanga ili wapore simu, wao wanataka hata kuua kwa udiwani tu. Kumbuka Igunga CCM waliua na hadi leo hakuna ripoti
 
Pongezi za CCM kwa ushindi wa Nassari ni unafiki wa kuficha uharamia ambao CCM wamewafanyia wabunge na wafuasi wa Chadema huko Mwanza. Kama pongezi hizo zingekuwa za dhati wangetoa pole na kujutia kitendo cha CCM kuwacharanga mapanga na mashoka wabunge wa Chadema kana kwamba wanachinja nyama. Chama hili cha CCM sasa kimegeuka kuwa chama cha umafia na ufisadi sawia.

Wametishia kujamba wakaarisha.....chungu lakini dawa
 
Pongezi za CCM kwa ushindi wa Nassari ni unafiki wa kuficha uharamia ambao CCM wamewafanyia wabunge na wafuasi wa Chadema huko Mwanza. Kama pongezi hizo zingekuwa za dhati wangetoa pole na kujutia kitendo cha CCM kuwacharanga mapanga na mashoka wabunge wa Chadema kana kwamba wanachinja nyama. Chama hili cha CCM sasa kimegeuka kuwa chama cha umafia na ufisadi sawia.

Hilo tunalijua siku nyingi na mwisho wake unaonekana uko karibu
 
Back
Top Bottom