Unafiki wa eddo kumwembe na ishu ya sammata

itahwa

Member
Mar 23, 2011
97
142
[h=5]ivi edo kumwembe ana agenda gani na sammata,coz sammatta akifanya vizuri uwanjani mpaka kinshasa jamaa huwa anaenda na kumsifia,,,,na kupiga nae picha kumuandika kwa mazuri,,,,,,,akizingua anageuka wakili wake,,,,,,,,au ana mipango ya muda mrefu na sammatta,,,,,,,,,
ngassa kagoma kwenda el mereikh jamaa mpaka kesho anamkomalia na kumuandikia makala[/h]
 
labda meneja wake
 
Samata anajielewa. usilete ushabiki maandazi mkuu. Ngasa mzinguaji ndio maana anapondwa kila siku.
 
kweli huyo ni shabiki wake mbona hajaenda norway kuandika ishu za henry joseph au kuandika mada za kumsifia
Kweli kila shetani na mbuyu wake!
 
Samata sio Mtanzania!ni Mzaramo wa Kinshasa!hana mpango na Tanzania!ameona miyeyusho tu!ingekuwa china ulete upuuzi wako kama huo...........
 
[h=5]ivi edo kumwembe ana agenda gani na sammata,coz sammatta akifanya vizuri uwanjani mpaka kinshasa jamaa huwa anaenda na kumsifia,,,,na kupiga nae picha kumuandika kwa mazuri,,,,,,,akizingua anageuka wakili wake,,,,,,,,au ana mipango ya muda mrefu na sammatta,,,,,,,,,
ngassa kagoma kwenda el mereikh jamaa mpaka kesho anamkomalia na kumuandikia makala[/h]

Jamaa lazima amkomalie Ngassa kwasababu angekubali kwenda El Mereikh jamaa angekuwa anauhakika wa kutumiwa raba kutoka Congo na Sudan.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi wakuu tunaelewa maana ya unafiki? Tusiwe tujifunze kujenga na kupingana kwa hoja pasipo kutukanana na kupeana majina ya kishetani pasipo sababu za msingi
 
nilikua namkubali sana eddo ila kwa makala yake aliyotoa kimsafisha samata nimemvua nyota nyingi ,,,saleh ally kaandika vitu vungi vya maana bt eddo anaweza kua mkweli kulko stopilla sunzu?
 
Back
Top Bottom